Gari lalipuka Moto Mbezi Beach!. Hakuna Msaada Wowote wa Zimamoto/Wananchi ni Kukodoa tu Macho Kuangalia kama Sinema!

Wewe ulitoa msaada gani?
 
Gari za fire za private zipo kwaajili ya wateja wao walio lipia huduma kabla ya majanga kutokea pale unapo waona wapo kusubiri taarifa ya moto kwa wateja wao ili waende kuzima moto na kama mteja wao unafungiwa mitambo nyumbani au Kiwandani, hospitali nk, kwaiyo moto ukitokea alarm inatuma.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Amepata sababu ya kununua gari mpya kwa hela ya bima..
 

Siku hizi kumekuwa na tabia ya baadhi ya wamiliki wanalipua moto ili walipwe na bima.yaani unakuta mtu ana bima kubwa gari kashalichoka sasa anafanya hivyo ili kulipwa jingine.huu mchezo hata jamaa yangu alifanya hivyo raum yake na kweli bhana alihonga nadani mejeja wa bima na hadi kapewa lingine.kwa sas hii ndio habari ya mujini.
Ngoja nichomekee neti kwanza
 
Kwa hiyo wanalipiga kiberiti wakiwa humohumo ndani?
 
Fire extinguisher nyingi watu hawajui zitumia

Nyingine zina sticker ila hakuna foam ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…