Gari langu limekua na tatizo la kuzima wakati naendesha

Umenipa mwanga mkubwa sana hivyo wale wanaosema Betri kazi yake ni kuwasha gari pekee kwamba gari ikishawaka haitumii tena betri inakuwaje hapo kaka mkubwab ??
Ukiwasha gari, betri huwa inabalance hata silancer ya gari, betri ikiwa mbovu hata sailensa ya gari haiwezi kuwa stable.

Pia kuna baadhi ya vitu humia betri moja kwa moja hata ukiwasha gari, kama taa, honi n.k....

Pia ukitaka kujua betri lina nguvu, ukipiga honi mara kadhaa utajua, kama linashida halitawasha gari.

Hata ukiwashs gari, betri badi inakiwa na kazi kwenye gari mkuu.
 
Asante sana sana .basi gari yangu itakuwa ni betri ndo maana ikizima haiwaki mpaka nibust yaani inakuwa haina chaji kabisa je radio inatumia betri pia siyo coz nakuwa nasikiliza pia
 
Ukiwa haujawasha gari radio huwa inatumia betri, na nguvu ya betri inapugua kadri utakavyosikiliza maana betri inakuwa haichajiwi.

Ila ukiwasha gari radio haiathir betri kwa kuwa huwa inachajiwa, ila ukizima kabisa gari hata radio huwa haiwaki mpaka upeleke funguo kwenye ICC ndo radio na ile sehemu ya kuwashia sigara vitafanya kazi.
 
Kwanza nitangulize shukrani zangu za pekee kwa wanajukwa hili kwa kuwa nimejifunza mengi

Naombeni msaada hapa gari yangu ni spacio new model 1zz imekuwa na tatizo la kuzima nikiwa naendesha haswa nikiwa naendesha sehemu ambayo situmii/sikanyagi mafuta huzima na nikijaribu kuwasha inagoma mpaka nibust betri na baada ya hapo huwaka .Tafadhali ni mambo gani huchangia tatizo hili .Silence iko sawa kabisa
wasiliana nami kama bado hujatatua shida yako .0717228064
 
Ukiwasha gari, betri huwa inabalance hata silancer ya gari, betri ikiwa mbovu hata sailensa ya gari haiwezi kuwa stable.

Pia kuna baadhi ya vitu humia betri moja kwa moja hata ukiwasha gari, kama taa, honi n.k....

Pia ukitaka kujua betri lina nguvu, ukipiga honi mara kadhaa utajua, kama linashida halitawasha gari.

Hata ukiwashs gari, betri badi inakiwa na kazi kwenye gari mkuu.
Hata ukiwasha full lights gari itaanza kulalamika.

Jua betri haipo sawa.
 
Alikagua akaanza kusema mambo mengi zaidi ya kumi mnooo nikamzuga akaondoka kwanza
Huyo siyo fundi ,mpigaji tuu gari kama linawaka mpaka ubust betry.hiyo ni tatizo la charging system tuu.either betry yenyewe iko dead au otoneta imekufa
 
Halafu Kuna ,,,,,,,,,,walitaka jf isiwepo da .Asante ziwafikie kwa wingi wa kutosha
 
Back
Top Bottom