Rsm0087
JF-Expert Member
- Jul 12, 2019
- 361
- 893
Ukiwasha gari, betri huwa inabalance hata silancer ya gari, betri ikiwa mbovu hata sailensa ya gari haiwezi kuwa stable.Umenipa mwanga mkubwa sana hivyo wale wanaosema Betri kazi yake ni kuwasha gari pekee kwamba gari ikishawaka haitumii tena betri inakuwaje hapo kaka mkubwab ??
Pia kuna baadhi ya vitu humia betri moja kwa moja hata ukiwasha gari, kama taa, honi n.k....
Pia ukitaka kujua betri lina nguvu, ukipiga honi mara kadhaa utajua, kama linashida halitawasha gari.
Hata ukiwashs gari, betri badi inakiwa na kazi kwenye gari mkuu.