DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Hili ndo gari langu la Kwanza kununua, lakini nikiri kusema nilibahatika muuzaji alikua na njaa sana
Ni land cruiser prado sx5.0 turbo nilipata Kwa million 7.5
Body ni station wagon
Sasa kwanzia jumapili gia zinaingia Kwa tabu sana hasa namba Moja na reverse na niligundua Hilo pindi nimetoka kubadili shockup za mbele
Na gia inavoingia gari inapiga kelele Kwa chini, tatizo linaweza kua Nini?
Mimi sio mtaalamu saana wa magari
Nawasilisha.