Gari langu linapiga kelele nikiingiza gia

Gari langu linapiga kelele nikiingiza gia

Jf mimi na genta ndio hatuna magari
Haraka sana kagombanieni Mjerumani kwa bei ya Kahawa.
20221230_214703.jpg
 
Zinachowafanya hizi gari huwa ni siri yao[emoji23]

Juzi kuna mtu alikuwa anavunja Tuareg na IST namba D
Ukilikosea masharti lazima ulikimbie
Weka genuine parts
Tumia recommend lubricants
Tumia experts penye shida
Epuka mafundi wasio na ujuzi na hayo magari
Always angalia dashboard inakuambia nini
Jifunze kuikagua gari walau mara 3 kwa wiki hasa kwenye lubricants zote
Epuka mikono mingi
 
Back
Top Bottom