Gari lililobeba mzigo upi unapenda lipate ajali karibu na nyumbani kwenu?

Gari lililobeba "majani".
Hapo ntajaza ruhusu ya wiki nzima kazini,najifungia ndani!.
 
Kuna wengine wamezindika mali zao. Gari ikipata ajali, na moto unawaka. Yanabaki majivu, hamuambulii hata chupa ya maji ya kunywa. Jamaa wanaenda kulipwa na bima...
 
Lori la mafuta limepata ajali leo,bodaboda zaidi ya kumi na pikipiki zao wameteketea kwa moto baada ya tenki kulipuka wakiwa wanachota mafuta,morogoro muda huu.
 
Watanzania wengi ni wezi ..au tuyasingizie maisha magumu ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…