Gari lililobeba mzigo upi unapenda lipate ajali karibu na nyumbani kwenu?

Gari lililobeba mzigo upi unapenda lipate ajali karibu na nyumbani kwenu?

Heading inasema "gari lililobeba mzigo upi unapenda lipate ajali"
Lakini Wasomali sio mzigo,hapo ndio utata unapoanzia.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3]

ww chukulia concept moja ya neno kupenda...! ni km ww useme unapenda gari lililobeba wadada wa kirwanda..sama applies to me!😊😊
 
Mimi gari linalosafirisha hela lipate ajali jirani na kwangu.
Back days, kitaa gari ya soda iliingia kwenye mfereji wa pembeni ilishindwa kukata kona, kwa bahati mbaya na gari ya mikate ikaenda kugonga gari ya soda kwa nyuma hapo hapo kwenye kona, daaah ilikuwa kama mtoto Yesu kazaliwa, unakula mkate unashushia na soda. Noma sana.
 
Hivi inakuweje hizi gari zinazosafirisha hela huwa sijawahi kusikia zimeanguka?
 
Back days, kitaa gari ya soda iliingia kwenye mfereji wa pembeni ilishindwa kukata kona, kwa bahati mbaya na gari ya mikate ikaenda kugonga gari ya soda kwa nyuma hapo hapo kwenye kona, daaah ilikuwa kama mtoto Yesu kazaliwa, unakula mkate unashushia na soda. Noma sana.
😀😀😀😀 dah pepsi na mkate si mchezo. Ningeagiza blueband faster
 
Back
Top Bottom