Gari lililobeba mzigo upi unapenda lipate ajali karibu na nyumbani kwenu?

Tamaa mbele mauti nyuma!

Unakufa kwa ajili ya petroli ya buku mbili!

Bure kabisa hawa watanganyika!
 
Nakumbuka miaka ya 2000 mwanzoni lilipata ajali gari lililobeba kontena la magodoro lilipata ajali kijijini kwetu,asalalee ....kama kuna mtu analalia ngozi pale kijijini atakuwa na laana! Bahati nzuri hakufariki mtu kwenye ajali ile na pia hawakufatillia mzigo wao maana wanakijiji kila mtu alibeba godoro lake,yalikaribia 4000 hivi.

Same year likapiga chini kontena la matairi mapya ya magari,kama kawa baada ya kuhahikisha majeruhi tumewawaisha hospitali, likavunjwa kontena,tukaanza kubingilisha matairi kila mtu na njia yake, tulishanogewa na magodoro kwahiyo ajali ilishakuwa fursa.

But this time polisi hawakutuacha salama,mbaya zaidi matairi hayo tuliyahifadhi majumbani,walipiga ambush ya kibabe na msafara wa magari ya kutosha,ilikuwa mshike mshike, walibaki watoto na kinamama peke yao pale kijijini kwa muda wa wiki mbili.

Vipi mdau wewe ungependa gari lenye mzigo upi lipate ajali karibu na nyumbani kwenu? (Ila kusiwe na vifo tafadhali),

Gari linalopeleka mishahara benki? Lenye maboksi ya iphone? Au la mafuta ya petroli,unakumbuka mshike mshike wa jamaa kule mbeya lilipopata ajali tenki la mafuta likalipuka? Kudadeki moto unakukimbiza kila utapokwenda.R.I.P kwakweli.

Uzi teyari...View attachment 1141863
Gari la kondomu aiseeh!
Nitahakikisha nashughulikia kijiji kizima
 
Labda nimeelewa tofauti na ulivyomaanisha.
Jitahidi unapoandika comment ieleweke vzr na watu wengi badala ya kuielewa peke yako.
Ukiweza kufanya hvyo utakuwa mtaalam mzuri wa lugha.

Ww ndo umeidifine tofauti..kwan heading inasemaje??ukiielewa heading na mm utanielewa
 
Tuliwahi kupata ajali nje ya Mto wa Mbu(Arusha) niliumia sana mguu.wasamalia wema wakatusaidia na kuisafisha gari yote mpaka vioo vya madirisha..
Mnao ishi pembezoni mwa barabara ajali ikitokea mnatuibia dua zetu Mungu uzipokea jifunzeni na msijisahau....
Msavu Msavu poleni sana..
 
Ww ndo umeidifine tofauti..kwan heading inasemaje??ukiielewa heading na mm utanielewa
Heading inasema "gari lililobeba mzigo upi unapenda lipate ajali"
Lakini Wasomali sio mzigo,hapo ndio utata unapoanzia.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3]
 
mkuu labda anamaanisha anataka aopoe mwanaume wa kisomali ili ampe hifadhi moyoni mwake
 
Nakumbuka miaka ya 2000 mwanzoni lilipata ajali gari lililobeba kontena la magodoro lilipata ajali kijijini kwetu,asalalee ....kama kuna mtu analalia ngozi pale kijijini atakuwa na laana! Bahati nzuri hakufariki mtu kwenye ajali ile na pia hawakufatillia mzigo wao maana wanakijiji kila mtu alibeba godoro lake,yalikaribia 4000 hivi.

Same year likapiga chini kontena la matairi mapya ya magari,kama kawa baada ya kuhahikisha majeruhi tumewawaisha hospitali, likavunjwa kontena,tukaanza kubingilisha matairi kila mtu na njia yake, tulishanogewa na magodoro kwahiyo ajali ilishakuwa fursa.

But this time polisi hawakutuacha salama,mbaya zaidi matairi hayo tuliyahifadhi majumbani,walipiga ambush ya kibabe na msafara wa magari ya kutosha,ilikuwa mshike mshike, walibaki watoto na kinamama peke yao pale kijijini kwa muda wa wiki mbili.

Vipi mdau wewe ungependa gari lenye mzigo upi lipate ajali karibu na nyumbani kwenu? (Ila kusiwe na vifo tafadhali),

Gari linalopeleka mishahara benki? Lenye maboksi ya iphone? Au la mafuta ya petroli,unakumbuka mshike mshike wa jamaa kule mbeya lilipopata ajali tenki la mafuta likalipuka? Kudadeki moto unakukimbiza kila utapokwenda.R.I.P kwakweli.

Uzi teyari...View attachment 1141863

Gari la maji taka.Hakuna mtu kusogelea
 
Back
Top Bottom