Subutu! huwa tuko makini mno, TID pekeake ndo katushushia heshima, akipona lazma akumbane na faini
Dua langu limesikika, kuna lori la mafuta limeanguka huko Morogoro, vijana wakaona ni neema ila kumbe ilikuwa njia mbadala ya kwenda kwa muumba!Mmmh
Hilo gari linakuwaga na magari matano ndani makomando hata likipata ajali husogeiMimi gari linalosafirisha hela lipate ajali jirani na kwangu.
Wasomali Wana ubaya gani?wanakuja huku kwa kunusurisha maisha yao kutokana na majanga ya nchini kwao.Libiduke gari lililobeba wahamiaji HARAMU..aka Wasomali...
cc@Hornet
Gari la kondomu aiseeh!Nakumbuka miaka ya 2000 mwanzoni lilipata ajali gari lililobeba kontena la magodoro lilipata ajali kijijini kwetu,asalalee ....kama kuna mtu analalia ngozi pale kijijini atakuwa na laana! Bahati nzuri hakufariki mtu kwenye ajali ile na pia hawakufatillia mzigo wao maana wanakijiji kila mtu alibeba godoro lake,yalikaribia 4000 hivi.
Same year likapiga chini kontena la matairi mapya ya magari,kama kawa baada ya kuhahikisha majeruhi tumewawaisha hospitali, likavunjwa kontena,tukaanza kubingilisha matairi kila mtu na njia yake, tulishanogewa na magodoro kwahiyo ajali ilishakuwa fursa.
But this time polisi hawakutuacha salama,mbaya zaidi matairi hayo tuliyahifadhi majumbani,walipiga ambush ya kibabe na msafara wa magari ya kutosha,ilikuwa mshike mshike, walibaki watoto na kinamama peke yao pale kijijini kwa muda wa wiki mbili.
Vipi mdau wewe ungependa gari lenye mzigo upi lipate ajali karibu na nyumbani kwenu? (Ila kusiwe na vifo tafadhali),
Gari linalopeleka mishahara benki? Lenye maboksi ya iphone? Au la mafuta ya petroli,unakumbuka mshike mshike wa jamaa kule mbeya lilipopata ajali tenki la mafuta likalipuka? Kudadeki moto unakukimbiza kila utapokwenda.R.I.P kwakweli.
Uzi teyari...View attachment 1141863
Labda yale ya wanafunzi,unene inch 2[emoji23][emoji23][emoji23] urefu futi 6 upana futi 2 mkilala wawili hamgeukiGari gani lilibeba magodoro karibia 4000?
Wasomali Wana ubaya gani?wanakuja huku kwa kunusurisha maisha yao kutokana na majanga ya nchini kwao.
Labda nimeelewa tofauti na ulivyomaanisha.Ubongo wako mzito km tubelight..huwez kamwe nielewa[emoji23]
Labda nimeelewa tofauti na ulivyomaanisha.
Jitahidi unapoandika comment ieleweke vzr na watu wengi badala ya kuielewa peke yako.
Ukiweza kufanya hvyo utakuwa mtaalam mzuri wa lugha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa umetisha duuuGari la matikikitimaji nifungulie nguruwe wangu wafanye tafrija fupi
Heading inasema "gari lililobeba mzigo upi unapenda lipate ajali"Ww ndo umeidifine tofauti..kwan heading inasemaje??ukiielewa heading na mm utanielewa
mkuu labda anamaanisha anataka aopoe mwanaume wa kisomali ili ampe hifadhi moyoni mwakeHeading inasema "gari lililobeba mzigo upi unapenda lipate ajali"
Lakini Wasomali sio mzigo,hapo ndio utata unapoanzia.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3]
Nakumbuka miaka ya 2000 mwanzoni lilipata ajali gari lililobeba kontena la magodoro lilipata ajali kijijini kwetu,asalalee ....kama kuna mtu analalia ngozi pale kijijini atakuwa na laana! Bahati nzuri hakufariki mtu kwenye ajali ile na pia hawakufatillia mzigo wao maana wanakijiji kila mtu alibeba godoro lake,yalikaribia 4000 hivi.
Same year likapiga chini kontena la matairi mapya ya magari,kama kawa baada ya kuhahikisha majeruhi tumewawaisha hospitali, likavunjwa kontena,tukaanza kubingilisha matairi kila mtu na njia yake, tulishanogewa na magodoro kwahiyo ajali ilishakuwa fursa.
But this time polisi hawakutuacha salama,mbaya zaidi matairi hayo tuliyahifadhi majumbani,walipiga ambush ya kibabe na msafara wa magari ya kutosha,ilikuwa mshike mshike, walibaki watoto na kinamama peke yao pale kijijini kwa muda wa wiki mbili.
Vipi mdau wewe ungependa gari lenye mzigo upi lipate ajali karibu na nyumbani kwenu? (Ila kusiwe na vifo tafadhali),
Gari linalopeleka mishahara benki? Lenye maboksi ya iphone? Au la mafuta ya petroli,unakumbuka mshike mshike wa jamaa kule mbeya lilipopata ajali tenki la mafuta likalipuka? Kudadeki moto unakukimbiza kila utapokwenda.R.I.P kwakweli.
Uzi teyari...View attachment 1141863
Inawezekana labda.mkuu labda anamaanisha anataka aopoe mwanaume wa kisomali ili ampe hifadhi moyoni mwake