Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Heading inasema "gari lililobeba mzigo upi unapenda lipate ajali"
Lakini Wasomali sio mzigo,hapo ndio utata unapoanzia.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3]
Mimi napenda gari iliyobeba wadada wa Kitanzania Kama wewe.ww chukulia concept moja ya neno kupenda...! ni km ww useme unapenda gari lililobeba wadada wa kirwanda..sama applies to me![emoji4][emoji4]
Mimi napenda gari iliyobeba wadada wa Kitanzania Kama wewe.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji3][emoji3]
Kumbe wapo Kama Mimi![emoji28][emoji28][emoji28]...haya mzee baba ....! visomali vzr bwana..sijui km kuna msomal ana kitambi[emoji16]..wote flat...![emoji39]
Kumbe wapo Kama Mimi!
Mimi mwenyewe kitambi nakisikia kwenye tv.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwa hyo na Mimi nikiwa sina kitambi pia utapenda niangukie mbele ya nyumba yako Kama wasomali?[emoji23][emoji23][emoji23] hongera sana
π©π©π©π©β β β βKwa hyo na Mimi nikiwa sina kitambi pia utapenda niangukie mbele ya nyumba yako Kama wasomali?
hahaha kipenda rohoInawezekana labda.
Ingawa haina uzito Ina maana sisi wanaume wabongo wote tumeshindwa kumtosheleza.
Back days, kitaa gari ya soda iliingia kwenye mfereji wa pembeni ilishindwa kukata kona, kwa bahati mbaya na gari ya mikate ikaenda kugonga gari ya soda kwa nyuma hapo hapo kwenye kona, daaah ilikuwa kama mtoto Yesu kazaliwa, unakula mkate unashushia na soda. Noma sana.Mimi gari linalosafirisha hela lipate ajali jirani na kwangu.
πππ Sasa dadaa, hao wasomali wa watu uwafanyie nini wakibinduka au wakufiane tu.Libiduke gari lililobeba wahamiaji HARAMU..aka Wasomali...
cc@Hornet
πππ Sasa dadaa, hao wasomali wa watu uwafanyie nini wakibinduka au wakufiane tu.
Tanker la petrol itapendeza zaidi. Kuna raia kule Mbeya wanajua raha yake π π π π π
Ha ha ha na Morogoro wanajua shughuli yakeUkisikia uchawi ndio huu
ππππ dah pepsi na mkate si mchezo. Ningeagiza blueband fasterBack days, kitaa gari ya soda iliingia kwenye mfereji wa pembeni ilishindwa kukata kona, kwa bahati mbaya na gari ya mikate ikaenda kugonga gari ya soda kwa nyuma hapo hapo kwenye kona, daaah ilikuwa kama mtoto Yesu kazaliwa, unakula mkate unashushia na soda. Noma sana.