Gari lililotumiwa na watu wengi halifai kwa matumizi

Gari lililotumiwa na watu wengi halifai kwa matumizi

Kweli kabisa..watu kibao wanajua ngozi za siti za hilo gali zilivyosinyaa..
 
Hii kitu hii imeniondolea furaha na kujiamni- unajihisi kuchoreka na kudhalilika.

Kama unaweza kutokuifikiria jitahidi sana ,inatesa mno
 
View attachment 2424787
Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwa matumizi, maana kila utakapopita nalo, basi ni lazima tuu utakutana na watu wanaojitapa kulijua vizuri kwa sababu walipata kulitumia.

Wapo watakaoelezea namna walivyokuwa wakiliburuza kwa mwendokasi, wengine wakijinasifu kwa mitindo mbalimbali ya uendeshaji waliokuwa wakitumia, nk.

Kwakifupi ni hivi, idadi ya wamiliki wa gari ikiwa kubwa, basi hufanya hata THAMANI yake kupungua, lakini pia hufanya uwezekano wa gari hilo kutodumu barabarani kwa muda mrefu.

Sasa basi, kwa nyie mnaojipanga kununua magari, inashauriwa kwamba ikiwa utakosa gari mpya, basi walau uchague ambalo halijamilikiwa na watumiaji wengi.

Credit 👉 maundumwingizi
✍️By Abdulatif Mohamed Kiyota
Wolper! Wema
 
Imagine, umenunua gari jipya tena kwa pesa nyingi halafu unapita maeneo yale yale ambayo ulinunua hilo gari unasikia raia wanasema lile gari lilipaswa liwe limekufa kutokana na matumizi yake ya mwanzoni.
 
Back
Top Bottom