cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Pale kimara, ni hatari kabisa.bora imetokea asubuhi,vp kama hiyo ajali ingetokea jioni au usiku ni maafa kiasi gani yangekuwa..barabara nyingi mjini zimegeuzwa eneo la biashara mida ya jioni mm najiuliza sana kwa jinsi wanavyojipanga vile ikitokea gari kufeli breki au kuhama njia..japo kweli riziki ngumu ila kujihami kwa taadhari pia muhimu