Gari limeacha njia na kuparamia fremu za maduka Ubungo Riverside

Pale kimara, ni hatari kabisa.
 
Sheria ya mita kadhaa toka katikati ya barabara ipo, huenda serikali ina hofu ya kupitisha bomoa bomoa kwa "wapiga kura"...

Hapo ndipo serikali inafeli ,watekeleze hizo sheria ili kulinda maisha na mali za raia.

Mimi nyumba zilizo kando ya barabara huwa sipendi hata kukaa maana lolote linaweza kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…