kwanza Engine tuna Overhaul not overall, halafu huwezi kumshauri jamaa kufanya matengenezo makubwa kiasi hicho hata hujajua ni moshi wa aina gani unatoka, ni mwingi kiasi gani? au gari lina miaka mingapi toka litengenezwe.Unachotakiwa kufanya ni overall ya engine ambapo utabadilisha gaskets na seals zote ndani ya engine kuepusha engine oil kuvuja...
Baada ya kufanya hivyo tatizo lako la gari kutoa moshi mara nyingi mweupe litakuwa limeisha...
mimi gari langu aina ya vitz linawasha taa ya oil.haizimiki nikiwasha linawaka nikipiga lesi linazma.watalamu nisaidieni
mimi gari langu aina ya vitz linawasha taa ya oil.haizimiki nikiwasha linawaka nikipiga lesi linazma.watalamu nisaidieni
Gari lako litakuwa limetembea zaidi ya kilomita 100000 tangu litengenezwe. Bado linanguvu nzuri tu na linaweza kufika speed zaidi ya 100Km/h.
Tatizo la gari lako ni dogo sana. Usikimbilie kufunguwa piston rings utaliharibu gari lako.
unachotakiwa kufanya ni kubadilisha vijitu vidogo sana kwenye gari vinaitwa "Valve stem seals"
Sasa ili uweze kubadilisha huto tujamaa lazima ifunguliwe cylinder head. Na ikifunguliwa unatakiwa ununuwe overhaul gasket kit.
kama gari ingekuwa inakosa nguvu ndio tungehoji uhai wa piston rings.
Kazi ya huto tu jamaa ni kuzuia kiasi chochote cha oil kuingia kwenye combustion chamber ili mchanganyiko wa oksijeni na petrol unaohitajika usiwe na impurities zozote zinaoweza kusababishwa na oil ambayo huwa inawekwa kwenye injini.
mimi gari langu aina ya vitz linawasha taa ya oil.haizimiki nikiwasha linawaka nikipiga lesi linazma.watalamu nisaidieni
mimi gari langu aina ya vitz linawasha taa ya oil.haizimiki nikiwasha linawaka nikipiga lesi linazma.watalamu nisaidieni
Nenda kwa Ringo hapo temekeNashukuru sana, ila suala hili linatakiwa lifanywe kwa mtaalamu aliyebobea, kwa hapa DAR, hasa Temeke, garage ipi inafaa.
Moshi mana yake kuna partial fuel combustion, chek ring piston kwa fundi.
Pia angia expiry date ya hilo gari, pole sana
expiry date ya gari inakuaje mkuu? mgeni kdg kweny hiz stuffs..
nashukuru sana kwa ushauri mzuri ambao tayari nimeufanyia kazigari lako linaweza kuwa na tatizo kubwa kidogo, nakushauri usilituimie upatapo msg hii.
Injini ya gari lako inakwambia kwamba oil pressure wakati wa idle ni ndogo kwa hiyo haifikii 3-5psi,
sababu ni nyingi!
1. Oilpump imechoka ama
2. Crank shaft imechoka ama
3. Strainer imeziba ama
4. Oil sensor switch ina kasoro.
Utatuzi.
1. Lazima upate uhakika ni ipi kati ya sababu nilizozitaja hapo juu,
2. Ujuwe chanzo cha sababu nilizotaja hapo juu nini na
3. Tatizo lako la msingi limeathiri vitu gani zaidi.
4. Thorough mechanical checkup, service and maintanance.
Mkuu ukisema gari lako linatoa moshi! !! Ni too general, jaribu kuwa specific ni.moshi wa rangi gani, let's say kwa kesi yako na assume gari ni la petroli !!!!
Iko hivi;
1: moshi. Ni mweusi. ... hapa una tatizo la fuel na system zake, kufix ni cheap but time consuming na inaitaji fundi mzuri
2: moshi ni mweupe. ... hayo mambo ya ring piston na compression hapa sasa ndo unabidi ujipange kwa engine overhaul, labda kama una bahati unaweza kuta ni valve seals tu zimechoka ndio unaweza kupata nafuu otherwise ni maumivu ya hela...
3: moshi wa blue. . Hapo utakuwa na matatizo yote mawili kwa mpigo, ni pasua kichwa sana hii scenario kuliko hizo mbili zilizotangulia, hapa kama una hela mchagoni nashauri tafuta used engine pachika , lasivyo itakugharimu sana.
NB. Kama gari lako ni la diesel, namba moja na mbili ni kawaida sana kwa magari hayo kutegemeana na hali ya hewa, hasa majira ya baridi, lakini kwa moshi aina ya tatu, bado ni majanga.
Jaribu kufanya diagnosis.......utajua tatizo la gari......hii labda labda unaweza kuchokonoa na vingine.......