Gari linatoa moshi, msaada wa kiufundi unahitajika

Gari linatoa moshi, msaada wa kiufundi unahitajika

Unachotakiwa kufanya ni overall ya engine ambapo utabadilisha gaskets na seals zote ndani ya engine kuepusha engine oil kuvuja...
Baada ya kufanya hivyo tatizo lako la gari kutoa moshi mara nyingi mweupe litakuwa limeisha...
kwanza Engine tuna Overhaul not overall, halafu huwezi kumshauri jamaa kufanya matengenezo makubwa kiasi hicho hata hujajua ni moshi wa aina gani unatoka, ni mwingi kiasi gani? au gari lina miaka mingapi toka litengenezwe.
 
mimi gari langu aina ya vitz linawasha taa ya oil.haizimiki nikiwasha linawaka nikipiga lesi linazma.watalamu nisaidieni
 
me sio mechanic ila dalili za engine kuchoka hizo
 
mimi gari langu aina ya vitz linawasha taa ya oil.haizimiki nikiwasha linawaka nikipiga lesi linazma.watalamu nisaidieni

oil inavuja somewhere
na ukiongeza oil bado haizimi?
 
Gari lako litakuwa limetembea zaidi ya kilomita 100000 tangu litengenezwe. Bado linanguvu nzuri tu na linaweza kufika speed zaidi ya 100Km/h.

Tatizo la gari lako ni dogo sana. Usikimbilie kufunguwa piston rings utaliharibu gari lako.
unachotakiwa kufanya ni kubadilisha vijitu vidogo sana kwenye gari vinaitwa "Valve stem seals"
Sasa ili uweze kubadilisha huto tujamaa lazima ifunguliwe cylinder head. Na ikifunguliwa unatakiwa ununuwe overhaul gasket kit.
kama gari ingekuwa inakosa nguvu ndio tungehoji uhai wa piston rings.

Kazi ya huto tu jamaa ni kuzuia kiasi chochote cha oil kuingia kwenye combustion chamber ili mchanganyiko wa oksijeni na petrol unaohitajika usiwe na impurities zozote zinaoweza kusababishwa na oil ambayo huwa inawekwa kwenye injini.

i see unapatikana wapi wewe
 
Gari langu halipandishi oil linatatzo ya pump. natafuta oil pump ya vitz 1SZ-FE. mwenye kujua bei na maduka yanayouza anijuze npo dar.
 
mimi gari langu aina ya vitz linawasha taa ya oil.haizimiki nikiwasha linawaka nikipiga lesi linazma.watalamu nisaidieni

Gari lako linaweza kuwa na tatizo kubwa kidogo, nakushauri usilituimie upatapo msg hii.
Injini ya gari lako inakwambia kwamba oil pressure wakati wa idle ni ndogo kwa hiyo haifikii 3-5psi,

Sababu ni nyingi!

1. Oilpump imechoka ama
2. Crank shaft imechoka ama
3. Strainer imeziba ama
4. Oil sensor switch ina kasoro.

Utatuzi.
1. Lazima upate uhakika ni ipi kati ya sababu nilizozitaja hapo juu,
2. Ujuwe chanzo cha sababu nilizotaja hapo juu nini na
3. Tatizo lako la msingi limeathiri vitu gani zaidi.
4. Thorough mechanical checkup, service and maintanance.
 
kitaalam unatakiwa kwanza uanze na vitu basic ndio ukimbilie kufungua mashine na kubadili ring... anza kwanza kwa kufanya service nzuri, weka oil nzuri oirignal na filters zote ubadili hadi ya fuel.... osha engine vizuri kwa presure ikiwezekana badili hadi plug na jaza gari mafuta mazuri kwenye petrol statio ya ueleweka kma puma binafsi nawaamini zaidi total then tembelea kama km 500 usikilizie... kama tatizo litaendelea basi inabidi ndo ufiirie kupeleka kwa fundi afungue abadili piston ring ila kama gari haijavuka km 100000 piston ring haiwez ua tatizo!!!
 
mimi gari langu aina ya vitz linawasha taa ya oil.haizimiki nikiwasha linawaka nikipiga lesi linazma.watalamu nisaidieni

gari lako lina matatizo kwenye oil pump! Fuatilia mfumo mzima wa oil kuanzia kiasi cha oil, wepesi wake( viscocity) , filters ,au unaweza kuwa kwa bahati mbaya umepita kwenye mawe ukagonga oil sump na kuzuia njia ya oil kuja kwenye pump, si busara kuendesha hilo gari kwa staili uliyoelezea hapo , utakuja kutengeneza vitu vikubwa na vya gharama sana kama hujalimaliza hilo tatizo.
 
Mkuu ukisema gari lako linatoa moshi! !! Ni too general, jaribu kuwa specific ni.moshi wa rangi gani, let's say kwa kesi yako na assume gari ni la petroli !!!!
Iko hivi;

1: moshi. Ni mweusi. ... hapa una tatizo la fuel na system zake, kufix ni cheap but time consuming na inaitaji fundi mzuri
2: moshi ni mweupe. ... hayo mambo ya ring piston na compression hapa sasa ndo unabidi ujipange kwa engine overhaul, labda kama una bahati unaweza kuta ni valve seals tu zimechoka ndio unaweza kupata nafuu otherwise ni maumivu ya hela...
3: moshi wa blue. . Hapo utakuwa na matatizo yote mawili kwa mpigo, ni pasua kichwa sana hii scenario kuliko hizo mbili zilizotangulia, hapa kama una hela mchagoni nashauri tafuta used engine pachika , lasivyo itakugharimu sana.

NB. Kama gari lako ni la diesel, namba moja na mbili ni kawaida sana kwa magari hayo kutegemeana na hali ya hewa, hasa majira ya baridi, lakini kwa moshi aina ya tatu, bado ni majanga.
 
Moshi mana yake kuna partial fuel combustion, chek ring piston kwa fundi.

Pia angia expiry date ya hilo gari, pole sana

expiry date ya gari inakuaje mkuu? mgeni kdg kweny hiz stuffs..
 
gari yangu ni volkswagen polo na imetembea km 90000 ina matatzo haya

1. nikiliwasha na nikipiga race nikiachia linazima
2. nikilirudisha nyuma kama nikikanyaga mafuta mengi linazima
3. ukiliwasha kunakua kama kuna mlio flani unakwaruza
4. linatumia mafuta mengi sana nakadiria inaweza fika 7km per litre wakati zamani ilikua 12km
5. sometime linamiss

matengenezo niliyowahi kufanya.
1. kufanyia service kubwa na kubadili plug (fundi alikosea akatoa pin tatu akaweka pin mbili) hapa tatizo likapungua kwa muda ila plug si zake so likarudi kiasi flani.
2. niliwahi kubadili pump ya mafuta na filter yake.

JE KWA WEYE UTAALAMU WA VOLKSWAGEN MNAWEZA NISAIDIA KWA HILI AU KUNIELEKEZA KWA MAFUNDI WAZURI WA VOLKSWAGEN .......
 
gari lako linaweza kuwa na tatizo kubwa kidogo, nakushauri usilituimie upatapo msg hii.
Injini ya gari lako inakwambia kwamba oil pressure wakati wa idle ni ndogo kwa hiyo haifikii 3-5psi,

sababu ni nyingi!

1. Oilpump imechoka ama
2. Crank shaft imechoka ama
3. Strainer imeziba ama
4. Oil sensor switch ina kasoro.

Utatuzi.
1. Lazima upate uhakika ni ipi kati ya sababu nilizozitaja hapo juu,
2. Ujuwe chanzo cha sababu nilizotaja hapo juu nini na
3. Tatizo lako la msingi limeathiri vitu gani zaidi.
4. Thorough mechanical checkup, service and maintanance.
nashukuru sana kwa ushauri mzuri ambao tayari nimeufanyia kazi
 
Mkuu ukisema gari lako linatoa moshi! !! Ni too general, jaribu kuwa specific ni.moshi wa rangi gani, let's say kwa kesi yako na assume gari ni la petroli !!!!
Iko hivi;

1: moshi. Ni mweusi. ... hapa una tatizo la fuel na system zake, kufix ni cheap but time consuming na inaitaji fundi mzuri
2: moshi ni mweupe. ... hayo mambo ya ring piston na compression hapa sasa ndo unabidi ujipange kwa engine overhaul, labda kama una bahati unaweza kuta ni valve seals tu zimechoka ndio unaweza kupata nafuu otherwise ni maumivu ya hela...
3: moshi wa blue. . Hapo utakuwa na matatizo yote mawili kwa mpigo, ni pasua kichwa sana hii scenario kuliko hizo mbili zilizotangulia, hapa kama una hela mchagoni nashauri tafuta used engine pachika , lasivyo itakugharimu sana.

NB. Kama gari lako ni la diesel, namba moja na mbili ni kawaida sana kwa magari hayo kutegemeana na hali ya hewa, hasa majira ya baridi, lakini kwa moshi aina ya tatu, bado ni majanga.

Gari yangu asubuhi nikiiwasha inatoa moshi mweupe halafu baada ya muda unakata wenyewe,
 
Back
Top Bottom