Gari mpya ya Billnass aina ya Defender yatikisa jiji la Dar Es Salaam mchana kweupe!

Gari mpya ya Billnass aina ya Defender yatikisa jiji la Dar Es Salaam mchana kweupe!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Ndinga jipya la msanii Billnass (Land Rover Defender) limezidi kuwa kivutio kwenye mitaa mbalimbali Jijini Dar es salaam,mapema leo hii alionekana nalo mitaa ya TAZARA na kuvutia wengi hususani mashabiki wake.


 
Mbona halina Usajili wa Tanzania?

Probably limekodishwa ili Vijana wapate ku-trend tu Mjini

Kama ni lake kweli, apewe hongera zake lakini iwe chachu Kwa Vijana wengine kuongeza bidii za utafutaji
Duuh kumbe na ww huwa ni poyoyo level hii...

Kaandika jina lake (nickname) hapo 'NENGA'
 
Back
Top Bottom