Dialogist
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 1,167
- 1,872
Lisu hawezi shinda. Anashinda Wenje. Au wadau mnasemaje?Lisu atashinda mapema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu hawezi shinda. Anashinda Wenje. Au wadau mnasemaje?Lisu atashinda mapema
Haya yote umeyatoa wapi?Kwani zikitengenezwa India ndio zitanunuliwa kama malaya wa buguruni wanavyoshindana kunadi nyuchi zao?
Ku-personalize huko ni cheap sana kuliko Tanzania. Kwa ilo jimbo, ni kama Rand 100 tu.Gp ~gauteng province
Hivi kwanini wasanii wengi wanapenda kutumia plate number za south Africa ??
TL NI MWENYEKITI AJAYE.Lisu atashinda mapema
Hawa wasanii kwa ujanja janjaHiyo number Plate NENGA sio ya TRA Tanzania Hiyo janja janja.
Unadhani gari ni makalio mzee, kila mtu awe mmiliki?Haujawahi kumiliki gari?
Soma katikati ya maandishi...utauacha ushamba, utaanza kufikiri kwa kina.Acha ushamba basi.
Hio plate number ni personal, huoni kaweka jina lake hapo 'NENGA'
Kwakweli wazazi wake wapewe pole, mtu kama huyu kuliwa dakika sifuri kwa kushobokea vitu vya watu
Ndinga jipya la msanii Billnass (Land Rover Defender) limezidi kuwa kivutio kwenye mitaa mbalimbali Jijini Dar es salaam,mapema leo hii alionekana nalo mitaa ya TAZARA na kuvutia wengi hususani mashabiki wake.
View attachment 3197653
Itakuwa imenunuliwa kutoka SA...Gp ~gauteng province
Hivi kwanini wasanii wengi wanapenda kutumia plate number za south Africa ??
Sasa Land Rover discovery toleo jipya,inatikisa vipi jiji la Dar! "Wanaume wa dar" Mbona uchawa umezidi! Gari ya kawaida sana hiyo, ingekuwa hummer, Chevrolet, GMC, bland new! Si mngetembea dar nzima huku........ Yakiwa nje!!!!Ndinga jipya la msanii Billnass (Land Rover Defender) limezidi kuwa kivutio kwenye mitaa mbalimbali Jijini Dar es salaam,mapema leo hii alionekana nalo mitaa ya TAZARA na kuvutia wengi hususani mashabiki wake.
View attachment 3197653
Sasa Land Rover discovery toleo jipya,inatikisa vipi jiji la Dar! "Wanaume wa dar" Mbona uchawa umezidi! Gari ya kawaida sana hiyo, ingekuwa hummer, Chevrolet, GMC, bland new! Si mngetembea dar nzima huku........ Yakiwa nje!!!!
Ila binadamu sisi!! Mtu akisifia mafanikio ya mwingine taabu, akiyaponda napo taabu!! Mnataka nini? Si mumsifie tu mwanaume mwenzenu kaweza!! Oooh mara South ni cheap, wewe lako expensive liko wapi? Au South hupajui!!