M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Haujawahi kumiliki gari?Hivi hizi gari zinanunuliwa au ni zile za kuibwa SA?
- Utaratibu wa kuendesha na number plate za nchi nyingine ukoje? Kama vile za ZNZ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haujawahi kumiliki gari?Hivi hizi gari zinanunuliwa au ni zile za kuibwa SA?
- Utaratibu wa kuendesha na number plate za nchi nyingine ukoje? Kama vile za ZNZ?
Plate namba zinazotumika Tanzania Bara huwa na rangi ya njano (Kwa Matumizi binafsi) na rangi nyeupe Kwa Matumizi ya biashara (Bajaj,Pikipiki, Basi ya Mikoani n.k)Duuh kumbe na ww huwa ni poyoyo level hii...
Kaandika jina lake (nickname) hapo 'NENGA'
Ile plate number japo ni private ila bado ni South hata ina ile ngao ya South Africa kwenye hiyo plate number yenyewe.Plate namba zinazotumika Tanzania Bara huwa na rangi ya njano (Kwa Matumizi binafsi) na rangi nyeupe Kwa Matumizi ya biashara (Bajaj,Pilipili, Basi ya Mikoani n.k)
Hata kama ingekuwa ni nickname yake, lakini ilipaswa Kibao cha plate namba kiwe na rangi ya njano na maandishi meusi
Anyways, huenda tumezeeka hivyo hatujui mambo mengi ya sasa(Hatupo updated)
Namimi nimeona hivyo, lakini wenzetu hapa wanataka kutuaminisha vinginevyoIle plate number japo ni private ila bado ni South hata ina ile ngao ya South Adrica kwenye hiyo plate number yenyewe.
Ni me lakini anashikwashikwa makalio!Wewe ni me ? Nawapa Pole wazazi wako !
Kitu ambacho sikiwa najua ni kwamba private number yenye usajili wa nchi nyingine unaweza kuitembelea kwenye nchi nyingine.Namimi nimeona hivyo, lakini wenzetu hapa wanataka kutuaminisha vinginevyo
Ndiyo, japo Kwa kibali maalumu cha TRAKitu ambacho sikiwa najua ni kwamba private number yenye usajili wa nchi nyingine unaweza kuitembelea kwenye nchi nyingine.
Kwani zikitengenezwa India ndio zitanunuliwa kama malaya wa buguruni wanavyoshindana kunadi nyuchi zao?Hivi hizi sizinatengenezwa India siku hizi?
Unasifia mali za dume jenzio utaolewa mseng**Wazazi wangu wamepokea pole yako.
Wameniambia pia nikukumbushe kwamba hii tabia ya kurukia mada za watu ili kuwakejeli, muasisi wake ni Uncle T na James Delicious.
Ni hayo tu
Naona anatembea na namba ya Gauteng, kama nawaona jinsi TRA wanavyomuangaliaHiyo number Plate NENGA sio ya TRA Tanzania Hiyo janja janja.
Sina jamboUkitoa kusema "Neenga" Billnas anabaki na nini kwenye mziki?
Ushamba unatoka wapi huoni alama ya kuuliza we chawaAcha ushamba basi.
Hio plate number ni personal, huoni kaweka jina lake hapo 'NENGA'