Gari mpya ya Billnass aina ya Defender yatikisa jiji la Dar Es Salaam mchana kweupe!

Duuh kumbe na ww huwa ni poyoyo level hii...

Kaandika jina lake (nickname) hapo 'NENGA'
Plate namba zinazotumika Tanzania Bara huwa na rangi ya njano (Kwa Matumizi binafsi) na rangi nyeupe Kwa Matumizi ya biashara (Bajaj,Pikipiki, Basi ya Mikoani n.k)

Hata kama ingekuwa ni nickname yake, lakini ilipaswa Kibao cha plate namba kiwe na rangi ya njano na maandishi meusi

Anyways, huenda tumezeeka hivyo hatujui mambo mengi ya sasa(Hatupo updated)
 
Ile plate number japo ni private ila bado ni South hata ina ile ngao ya South Africa kwenye hiyo plate number yenyewe.
 
Nenga ana stairi kumiliki iyo ndinga tangu Raha haha na nazizi achievements kabla hata FA hajawa Waziri mazoea
 
Watu ambao hawana knowledge eti TRA Hapo jamaa kaingia customs area department kulipia ushuru nakuchange plate number acheni ushamba basi hauoni hapo ni bandari kavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…