Gari mpya ya kifahari ya Diamond Platnumz

Gari mpya ya kifahari ya Diamond Platnumz

Mie Yanga, so hii Hainihusu

lakini

Hivi haya magari anazikwa nayo?

nauliza tu


Maana kama mtu una gari zako mbili
moja ya kutembelea na nyingine ya kuzungukia

unanunua nyingine saba za nini?

Basi hata tuyahurumie mazingira,

Maana hilo dude litaongeza hata kama 0.00007% ya Carbons halifai


Haya mnipige mawe sasa ...
Kwani we hii TECNO yako utazikwa nayo?
Kwa level aliyopo sio kitu cha kushangaza
[HASHTAG]#Get[/HASHTAG] inspired, Acha Chuki/Wivu
 
Unga unafanya kaz

Kufanya,colabo na rihana
Labda ampe bwaanake rihana
0713
 
Mie Yanga, so hii Hainihusu

lakini

Hivi haya magari anazikwa nayo?

nauliza tu


Maana kama mtu una gari zako mbili
moja ya kutembelea na nyingine ya kuzungukia

unanunua nyingine saba za nini?

Basi hata tuyahurumie mazingira,

Maana hilo dude litaongeza hata kama 0.00007% ya Carbons halifai


Haya mnipige mawe sasa ...
Hahahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3] nimefurahishwa na mtazamo wako
 
Back
Top Bottom