Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuhh we noma umeona jeeeTeh kuna dustbin la kijani kwa mbaali sidhani kama bongo kwetu tuna mazoea ya kuweka hayo makitu nje ya nyumba zetu
Hachomoi kabisa mlaini kama shiloleMwenyewe ameweka picha kama promo ya uzinduzi wa nyimbo yake; mtu amekimbilia hapa bila kuelewa lengo lake na kuweka habari hii, mtu kama huyu akiombwa atachomoa kweli?
Alikiba hata nyumba tu inamsumbua ndio anunue hiyo acha utani kbs na hiyo kitu inaitwa weka mbali na watoto. Mziki mzuri yy sauti tu ila mafanikio amuachie mond.Ali Kiba ana uwezo wa kununua kama hayo hata matano lakini hapendi show off tu kama huyu. Ndio maana kazaliwa Tandale
mlango si mlango mpaka ufunguliwe au uachwe waziMie Yanga, so hii Hainihusu
lakini
Hivi haya magari anazikwa nayo?
nauliza tu
Maana kama mtu una gari zako mbili
moja ya kutembelea na nyingine ya kuzungukia
unanunua nyingine saba za nini?
Basi hata tuyahurumie mazingira,
Maana hilo dude litaongeza hata kama 0.00007% ya Carbons halifai
Haya mnipige mawe sasa ...
mlango si mlango mpaka ufunguliwe au uachwe wazi
Sidhani kama ndio hivo,mi nahisi ni promo ya wimbo wake na Ne yo unaokwenda kwa jina la marry you. Lakini kama ni yake hongera kwake.
naona kama usedAcheni wivu wenu keep up simba diamond