Gari mpya ya kifahari ya Diamond Platnumz

Gari mpya ya kifahari ya Diamond Platnumz

Msaani pekee wa Kimataifa kutoka ardhi ya Tanzania ambaye amefanya kolabo kibao na wasanii kutoka nchi ya Donald Trump kama Ne-Yo. Rihana, Rossey, leo kupitia akaunti yake ya Instagram ametupia picha ya gari yake mpya yenye hadhi ya wasanii wa kimataifa kama akina Jay Z, Kanye West, Birdman, Weezy na Breezy aina ya Rolls-Royce . Pamoja na hayo SIMBA himself ametoboka tena kiasi cha pesa za madafu milioni 10 (10,000,000) kulipia jina maalum la SIMBA.

db8dc7b47b7e283b97af0872c33f46d1.jpg
vizuri
 
Mie Yanga, so hii Hainihusu

lakini

Hivi haya magari anazikwa nayo?

nauliza tu


Maana kama mtu una gari zako mbili
moja ya kutembelea na nyingine ya kuzungukia

unanunua nyingine saba za nini?

Basi hata tuyahurumie mazingira,

Maana hilo dude litaongeza hata kama 0.00007% ya Carbons halifai


Haya mnipige mawe sasa ...
ukizeeka lazima utakuwa mchawi wewe.unampangia mtu pesa wakati yeye ndio anajua anaipata vipi
 
Mimi ni mshabiki wa alikiba bt diamond noma sanaa daah ...japo benpol ni bora kuliko songa ila ntabaki tu kushabikia mtu anaitwa darasa tho weusi ndio nawapenda
 
Mbona dizaini kama plate namba haiendani na hadhi ya mkoko!?
Anyway bei gani wamempiga?
 
Amekosea sana kuandika SIMBA wakati yeye ni wakimataifa. Bora anageandika Platnamz 2 than Simba hilo jina litamharibia focus ya Kimataifa...
 
Acha uongo ulimchangia Hela mpaka umpangie jina? Vipi mfalme wenu Ally Kiba aige tena
 
Hilo bado lipo huko alipo halijafika Tanzania!! Angalia mazingira sio ya hapa!
 
Ali Kiba ana uwezo wa kununua kama hayo hata matano lakini hapendi show off tu kama huyu. Ndio maana kazaliwa Tandale
 
Ali Kiba ana uwezo wa kununua kama hayo hata matano lakini hapendi show off tu kama huyu. Ndio maana kazaliwa Tandale
Hahaha hata kama ndo mahaba mkuu si vyema kudanganya,unajua thamani ya hayo magari matano ni bei gani?
 
Mazingira ya gari ni mitaa ya mbelembele.kaplate namba kamebandikwa tu wakat Wa shooting.
 
Teh kuna dustbin la kijani kwa mbaali sidhani kama bongo kwetu tuna mazoea ya kuweka hayo makitu nje ya nyumba zetu
 
Mie Yanga, so hii Hainihusu

lakini

Hivi haya magari anazikwa nayo?

nauliza tu


Maana kama mtu una gari zako mbili
moja ya kutembelea na nyingine ya kuzungukia

unanunua nyingine saba za nini?

Basi hata tuyahurumie mazingira,

Maana hilo dude litaongeza hata kama 0.00007% ya Carbons halifai


Haya mnipige mawe sasa ...
masikini huwa tuna mawazo mazuri!!!
 
Mie Yanga, so hii Hainihusu

lakini

Hivi haya magari anazikwa nayo?

nauliza tu


Maana kama mtu una gari zako mbili
moja ya kutembelea na nyingine ya kuzungukia

unanunua nyingine saba za nini?

Basi hata tuyahurumie mazingira,

Maana hilo dude litaongeza hata kama 0.00007% ya Carbons halifai


Haya mnipige mawe sasa ...
Mmh.. Dada angu mtu ukiwa na pesa mbona mambo ya kawaida sana hayo.. Sio hata suala la kuhoji hilo ilimradi nafsi inaridhika.. BTW, matumizi ya pesa haswa ni yapi..?
 
Mie Yanga, so hii Hainihusu

lakini

Hivi haya magari anazikwa nayo?

nauliza tu


Maana kama mtu una gari zako mbili
moja ya kutembelea na nyingine ya kuzungukia

unanunua nyingine saba za nini?

Basi hata tuyahurumie mazingira,

Maana hilo dude litaongeza hata kama 0.00007% ya Carbons halifai


Haya mnipige mawe sasa ...


If it makes you happy to own 50 cars, and you can afford to, then why not?

Hayo yako mawili ndo ardhi imeruhusu uzikwe nayo?

Regarding pollution you hardly have any point. Do you know anything regarding the emission of gases from unroadworthy vehicles?

Madam please.
 
Safi sana....maisha yanataka nini zaidi ya kuendesha fast cars....
 
Msanii pekee wa Kimataifa kutoka ardhi ya Tanzania ambaye amefanya kolabo kibao na wasanii kutoka nchi ya Donald Trump kama Ne-Yo. Rihana, Rossey, leo kupitia akaunti yake ya Instagram ametupia picha ya gari yake mpya yenye hadhi ya wasanii wa kimataifa kama akina Jay Z, Kanye West, Birdman, Weezy na Breezy aina ya Rolls-Royce . Pamoja na hayo SIMBA himself ametoboka tena kiasi cha pesa za madafu milioni 10 (10,000,000) kulipia jina maalum la SIMBA.

db8dc7b47b7e283b97af0872c33f46d1.jpg
atakayebisha asome signature yako ni ujumbe tosha
 
Una uhakika?

Labda kama hukuzaliwa maskini!

au hukuzaliwa africa
Ukizaliwa maskini ina maana hautakuwa kimawazo, hauruhusiwi kuendelea, hauruhusiwi kuota na kutimiza ndoto zako?

Kuzaliwa Africa je?
 
Back
Top Bottom