Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekua na huo uwezo angenunuaAli Kiba ana uwezo wa kununua kama hayo hata matano lakini hapendi show off tu kama huyu. Ndio maana kazaliwa Tandale
We unadhani ommy dimpoz apo atasemaje
Tafuta vyako wew mchawiMie Yanga, so hii Hainihusu
lakini
Hivi haya magari anazikwa nayo?
nauliza tu
Maana kama mtu una gari zako mbili
moja ya kutembelea na nyingine ya kuzungukia
unanunua nyingine saba za nini?
Basi hata tuyahurumie mazingira,
Maana hilo dude litaongeza hata kama 0.00007% ya Carbons halifai
Haya mnipige mawe sasa ...
Utasikia mi nilikuwa nshalinunua nkaona ni mambo ya kijinga nkauzaOmmy Dimpo itabidi apumuliwe tu maana hakuna mamna
hutu tugari arusha vijana wanatembelea kitaa sana,hakuna cha kushangaza hapoMsanii pekee wa Kimataifa kutoka ardhi ya Tanzania ambaye amefanya kolabo kibao na wasanii kutoka nchi ya Donald Trump kama Ne-Yo. Rihana, Rossey, leo kupitia akaunti yake ya Instagram ametupia picha ya gari yake mpya yenye hadhi ya wasanii wa kimataifa kama akina Jay Z, Kanye West, Birdman, Weezy na Breezy aina ya Rolls-Royce . Pamoja na hayo SIMBA himself ametoboka tena kiasi cha pesa za madafu milioni 10 (10,000,000) kulipia jina maalum la SIMBA.
![]()
Poor DiamonMsanii pekee wa Kimataifa kutoka ardhi ya Tanzania ambaye amefanya kolabo kibao na wasanii kutoka nchi ya Donald Trump kama Ne-Yo. Rihana, Rossey, leo kupitia akaunti yake ya Instagram ametupia picha ya gari yake mpya yenye hadhi ya wasanii wa kimataifa kama akina Jay Z, Kanye West, Birdman, Weezy na Breezy aina ya Rolls-Royce . Pamoja na hayo SIMBA himself ametoboka tena kiasi cha pesa za madafu milioni 10 (10,000,000) kulipia jina maalum la SIMBA.
![]()