Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Una uhakika?
Labda kama hukuzaliwa maskini!
au hukuzaliwa africa
Kwahiyo matajiri na waliozaliwa mabara mengine wana magari machache?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika?
Labda kama hukuzaliwa maskini!
au hukuzaliwa africa
vizuriMsaani pekee wa Kimataifa kutoka ardhi ya Tanzania ambaye amefanya kolabo kibao na wasanii kutoka nchi ya Donald Trump kama Ne-Yo. Rihana, Rossey, leo kupitia akaunti yake ya Instagram ametupia picha ya gari yake mpya yenye hadhi ya wasanii wa kimataifa kama akina Jay Z, Kanye West, Birdman, Weezy na Breezy aina ya Rolls-Royce . Pamoja na hayo SIMBA himself ametoboka tena kiasi cha pesa za madafu milioni 10 (10,000,000) kulipia jina maalum la SIMBA.
![]()
ukizeeka lazima utakuwa mchawi wewe.unampangia mtu pesa wakati yeye ndio anajua anaipata vipiMie Yanga, so hii Hainihusu
lakini
Hivi haya magari anazikwa nayo?
nauliza tu
Maana kama mtu una gari zako mbili
moja ya kutembelea na nyingine ya kuzungukia
unanunua nyingine saba za nini?
Basi hata tuyahurumie mazingira,
Maana hilo dude litaongeza hata kama 0.00007% ya Carbons halifai
Haya mnipige mawe sasa ...
Hahaha hata kama ndo mahaba mkuu si vyema kudanganya,unajua thamani ya hayo magari matano ni bei gani?Ali Kiba ana uwezo wa kununua kama hayo hata matano lakini hapendi show off tu kama huyu. Ndio maana kazaliwa Tandale
masikini huwa tuna mawazo mazuri!!!Mie Yanga, so hii Hainihusu
lakini
Hivi haya magari anazikwa nayo?
nauliza tu
Maana kama mtu una gari zako mbili
moja ya kutembelea na nyingine ya kuzungukia
unanunua nyingine saba za nini?
Basi hata tuyahurumie mazingira,
Maana hilo dude litaongeza hata kama 0.00007% ya Carbons halifai
Haya mnipige mawe sasa ...
Mmh.. Dada angu mtu ukiwa na pesa mbona mambo ya kawaida sana hayo.. Sio hata suala la kuhoji hilo ilimradi nafsi inaridhika.. BTW, matumizi ya pesa haswa ni yapi..?Mie Yanga, so hii Hainihusu
lakini
Hivi haya magari anazikwa nayo?
nauliza tu
Maana kama mtu una gari zako mbili
moja ya kutembelea na nyingine ya kuzungukia
unanunua nyingine saba za nini?
Basi hata tuyahurumie mazingira,
Maana hilo dude litaongeza hata kama 0.00007% ya Carbons halifai
Haya mnipige mawe sasa ...
Mie Yanga, so hii Hainihusu
lakini
Hivi haya magari anazikwa nayo?
nauliza tu
Maana kama mtu una gari zako mbili
moja ya kutembelea na nyingine ya kuzungukia
unanunua nyingine saba za nini?
Basi hata tuyahurumie mazingira,
Maana hilo dude litaongeza hata kama 0.00007% ya Carbons halifai
Haya mnipige mawe sasa ...
mkuu hivi unaweza kuzunguka bila kutembea au kutembea bila kuzunguka....moja ya kutembelea na nyingine ya kuzungukia
atakayebisha asome signature yako ni ujumbe toshaMsanii pekee wa Kimataifa kutoka ardhi ya Tanzania ambaye amefanya kolabo kibao na wasanii kutoka nchi ya Donald Trump kama Ne-Yo. Rihana, Rossey, leo kupitia akaunti yake ya Instagram ametupia picha ya gari yake mpya yenye hadhi ya wasanii wa kimataifa kama akina Jay Z, Kanye West, Birdman, Weezy na Breezy aina ya Rolls-Royce . Pamoja na hayo SIMBA himself ametoboka tena kiasi cha pesa za madafu milioni 10 (10,000,000) kulipia jina maalum la SIMBA.
![]()
Ukizaliwa maskini ina maana hautakuwa kimawazo, hauruhusiwi kuendelea, hauruhusiwi kuota na kutimiza ndoto zako?Una uhakika?
Labda kama hukuzaliwa maskini!
au hukuzaliwa africa
Yanafana ktk herufi yote yana herufi 10 ktk kila neno ila ipo tofauti ktk kuandika na kutamkaKutembelea na kuzungukia kuna utofauti gani?