Kwani we hii TECNO yako utazikwa nayo?Mie Yanga, so hii Hainihusu
lakini
Hivi haya magari anazikwa nayo?
nauliza tu
Maana kama mtu una gari zako mbili
moja ya kutembelea na nyingine ya kuzungukia
unanunua nyingine saba za nini?
Basi hata tuyahurumie mazingira,
Maana hilo dude litaongeza hata kama 0.00007% ya Carbons halifai
Haya mnipige mawe sasa ...
Hahasaa we jamaa watasema hapendi kickAlly Kiba amenunua VITZ mpya nyeusi
mama yako mbona anatoa 'ndogo' wananzengo wamekaushaUnga unafanya kaz
Kufanya,colabo na rihana
Labda ampe bwaanake rihana
0713
Hahahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3] nimefurahishwa na mtazamo wakoMie Yanga, so hii Hainihusu
lakini
Hivi haya magari anazikwa nayo?
nauliza tu
Maana kama mtu una gari zako mbili
moja ya kutembelea na nyingine ya kuzungukia
unanunua nyingine saba za nini?
Basi hata tuyahurumie mazingira,
Maana hilo dude litaongeza hata kama 0.00007% ya Carbons halifai
Haya mnipige mawe sasa ...
Hiyo pleti nanba sio angali vizuri junsi ilivyawekwaAmekosea sana kuandika SIMBA wakati yeye ni wakimataifa. Bora anageandika Platnamz 2 than Simba hilo jina litamharibia focus ya Kimataifa...
Acha uongo ulimchangia Hela mpaka umpangie jina? Vipi mfalme wenu Ally Kiba aige tena