Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Hii kweli Kali!Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu
View attachment 1628345
Hawajalipwa mishahara, miezi miwili.Kinachonifundisha ni kwamba usishangae hao jamaa wanaoning'inia huko juu ya gari ukute wanaishi kwny kotaz za mabati na hapo walipo wana stress za madeni.
Coward dictatorship!Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu
View attachment 1628345
Chaguo la mungu mamaye kimanainaKazi kwelikweli, halafu naye atasema anapendwa, mtu anayependwa ulinzi wote huo wa nini?
'Bwanayule' ataiga siyo muda ..Chaguo la mungu mamaye kimanaina
Mkuu una proof zaidi ya hii tuamini ni Museven?Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu
View attachment 1628345
Hii gari alistahili TLTunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu
View attachment 1628345
What kind and type of a proof is your request?Mkuu una proof zaidi ya hii tuamini ni Museven?
Ila siku zote hakunaga amani kwa watu waovu.
Hii gari alistahili TLView attachment 1628362
What's the difference?Si mlisema Magu role model wake ni kagame mara hii imekua museven
Ndio maana wanatamba! Namshangaa Kuhani wetu anavyowabezaMuseveni na Kagame ni darling wa Muzungu, ...
Kwa style hiyo, huyo jamaa hatarajii kumuachia mtu mwengine Hilo gari . Maana amejidhatiti kutawala hadi Afe.Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu
View attachment 1628345