Sawa Trump...mimi nimeuliza tu.Fake news. This is a police vehicle
Nimecheka sana eti huyu ni kibaka sio raisHuyu ni kibaka wala siyo Rais
Water proof labdaWhat kind and type of a proof is your request?
Daah labda mpk uwekewe za dizaini hii ndio utaamini mzee baba.Mbona juu haziendani na gari yenyewe, hii iko more edited hasa upande walilo ongeza juu kama sehem ya kukaa
Mbona juu haziendani na gari yenyewe, hii iko more edited hasa upande walilo ongeza juu kama sehem ya kukaa
Utaniua aisee kwa kuchekaWater proof labda
Duh hapa nimeamini acha atawale milele hadi kizazi cha7The photos were taken in Kampala City in 2014 when Ugandan troops were deployed following the threat of a terrorist attack.
The images featured in multiple stories by the BBC as seen here and here and accompanied reports that troops had been deployed to the airport and in the city of Kampala.View attachment 1628429
Kwani ndege wafananao si huruka pamoja?, wakiwa watatu wanne inabadilisha kitu??Si mlisema Magu role model wake ni kagame mara hii imekua museven
Duh hapa nimeamini acha atawale milele hadi kizazi cha7
Kwani ndege wafananao si huruka pamoja?, wakiwa watatu wanne inabadilisha kitu??
Kaguta is among of them!
Assassination zipo za kila namna..Duh hapa nimeamini acha atawale milele hadi kizazi cha7
😂😂Hawajalipwa mishahara, miezi miwili
Akipendwa sana ndo anakuwa hatarini zaidiKazi kwelikweli, halafu naye atasema anapendwa, mtu anayependwa ulinzi wote huo wa nini?