Ki ukweli Hilo Ni gari la polisi halina uhusiano wowote na museveniPicha pekee haijaonesha mahusiano yoyote na Museven
Manyumbu bendera fuata upepo.Si mlisema Magu role model wake ni kagame mara hii imekua museven
Niliona wiki iliyopita alipokwenda kufanya kampeni wilaya ya Moyo sikulielewa niliona kama robotic kwenye fixture film, nilijua anamuogopa Bobi wine na Waganda.Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu.
View attachment 1628345
kwani akihamia kwa museveni anazuiwa?Si mlisema Magu role model wake ni kagame mara hii imekua museven
Yote haya anafanya ili adumu milele, atakufa tu kwa wakati wake na ataachia kitiNiliona wiki iliyopita alipokwenda kufanya kampeni wilaya ya Moyo sikulielewa niliona kama robotic kwenye fixture film, nilijua anamuogopa Bobi wine na Waganda.
watu wanajaribu kila mtu m'baya wamuhusishe na magu,hata wewe ungekua rais ukafanya ujinga ungeskia wanasema rafiki ake magu numbisa kafanya moja mbili tatu,ki ufupi wote wanaofanya mabaya n nduguze magu.Si mlisema Magu role model wake ni kagame mara hii imekua museven
View attachment 1628345Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu.
Acha ya gari hilo fananisha ulinzi wa sasa na ule wa mwalimu Nyerere, mwalimu hakuwahi kulindwa na kikosi cha askari wenye silaha nzito na wakati mwingine alikuwa analala vijijini!Hilo ( Hili ) Gari linatufundisha ya kwamba ukiwa na Watu wenye Roho za 'Visununu' kama Wewe na Mgombea wako aliyeshindwa Uchaguzi Mkuu na akasahau kuwa ana Ratiba ya kurejea Kupiga Sindano yake ya 'Ugokoni' huko 'Ubelgiji' Tundu Lissu na ambao wanatumika na 'Maadui' wa nje wa Tanzania, ili 'Kujilinda' vyema yakupasa uwe na Gari kama alilonalo sasa Rais wa Uganda 'Mwalimu' wa Siasa, Uchumi na Vita Mzee Museveni.
Kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na hiki cha sasa cha Rais Dk. Magufuli ni sawa? Kuna Watu ni ' Hopeless' hapa hadi Mnaboa tu.Acha ya gari hilo fananisha ulinzi wa sasa na ule wa mwalimu Nyerere, mwalimu hakuwahi kulindwa na kikosi cha askari wenye silaha nzito na wakati mwingine alikuwa analala vijijini!