Gari mpya ya Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni inatufundisha nini?

Gari mpya ya Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni inatufundisha nini?

Siamini kama ni gari la mseveni hilo,itakua scene ya kwenye senema
Kama ni kweli,gari hilo halifai kwa usalama,speed ndogo italifanya kuwa sitting duck ya ATGM attack hasa kwa nchi zisizo na amani mfano iraq,libya,syria.
Ila linafaa kwa show off
hilo gari uzushi.

yani hilo gari kiusalama wa rais ni empty kabisa, unawatungua hao masniper hapo juu kisha unalikimbia gari kwa miguu mpk unalikamata unamchomoa rais unamkata mbata.
 
Mnatunga sana stories wakuu mpaka mnaonekana waongo
Kagame alishamwingiza Mjini yule mshamba, sa hivi hawaivi kabisa. Kagame amemdhulumu mapesa kibao. Sa hivi kajipeleka kwa M7. Ulimwona Kagame wakati anaapishwa?
 
Hilo gari lilitumika 2014 kujihami na terror attack
0MbtMRM_W6h5SCm_O.png

Siamini kama ni gari la mseveni hilo,itakua scene ya kwenye senema
Kama ni kweli,gari hilo halifai kwa usalama,speed ndogo italifanya kuwa sitting duck ya ATGM attack hasa kwa nchi zisizo na amani mfano iraq,libya,syria.
Ila linafaa kwa show off
 
Kwa namna hii watu kama wewe Bujibuji mtazidi kumfanya Max Melo aendelee kuzitembelea mahakama. Kwa nini ulete habari za uongo?
 
Inatufundisha kuwa Africa bado watu hawajawa binadamu sawa-sawa.
Unanikumbusha msemo wa P.W Botha akiwa raisi wa Afrika kusini, alipata kusema kalunguyeye si nungunungu ingawa wanataka kufanana. Akaendelea kusema hakuna kitu utampa mtu mweusi akifanye na akakifanya sawasawa, yaani sisi ni karunguyeye na wao weupe ni nungunungu. Hakuwa tayari kuwaachia nchi yao hadi pressure ilipozidi.
 
mkiona sisi vionhozi tunajiongezea ulinzi jue tumeanza kuwaibia " by J.K Nyerere
 
Mi viongozi ya Afrika ikienda ziarani ama kuonekana kwenye TV inatufanya waafrika wote tuonekane nyani.
 
KWELI AFRICA SIJUI TUTAKUA LIN
RAIS LAZMA ALINDWE KWA NGUVU SABABU YE NDIO ICON YA NCHI
 
Kiufupi jamaa hana mpango wa kutoka madarakani
 
Kinachonifundisha ni kwamba usishangae hao jamaa wanaoning'inia huko juu ya gari ukute wanaishi kwny kotaz za mabati na hapo walipo wana stress za madeni.
Tatizo viapo ndugu.

Wanakula viapo vibaya Sana na vikubwa mno.
 
Back
Top Bottom