Gari mpya ya Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni inatufundisha nini?

Gari mpya ya Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni inatufundisha nini?

Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu
View attachment 1628345
Sio kweli, hilo sio gari la Museven, ni gari la wanajeshi wa Uganda na hapo walikuwa ktk operation ya kijeshi. Pia wala sio jipya, maana liliripotiwa zaidi ya miaka mitano iliyopita na vyombo vya habari.

Screenshot_2020-11-17-10-37-39-1.png

Habari yake kamili ipo hapa: https://www.bbc.com/news/world-africa-28185349
 
Hilo gari la promosheni la dume condoms!

Mkuu wacha masihara, eti gari la mpiga push up namba 2, Africa Mashariki??😀
African leaders?? African dealers??

Everyday is Saturday................................😎
 
Mbona gari hili meko analo kwani hujawahi kuliona?
 
Museveni ni noma ana kikosi chake maalum cha kumlinda kinaitwa black mamba hehehe
Rais anajitahidi quarter pin mnajua maana yake
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Na bado hapo ana walinzi wengine wasioonekana kwa macho ya nyama,wala microscope; majini na uchawi wa kufa mtu.

Na hata jiwe anao hao walinzi, lakini kutwa kucha haishi kulitaja jina la Mwenyezi Mungu.

Yote hayo ni kwa ajili ya nini kama si kujilisha upepo tu?
 
Inawezekana ni kikosi alichokuwa nacho msituni, kakipa kazi ya kumlinda mjini.
 
Si mlisema Magu role model wake ni kagame mara hii imekua museven
Kagame alishamwingiza Mjini yule mshamba, sa hivi hawaivi kabisa. Kagame amemdhulumu mapesa kibao. Sa hivi kajipeleka kwa M7. Ulimwona Kagame wakati anaapishwa?
 
Dereva anayeendesha hiyo gari hayuko comfortable kabisa, anaendesha kama anachungulia barabarani kwa jinsi kulivyo na mazagazaga mengi yasiyo na maana.

Yani hapo gari ya tan 2 imebeba mzigo wa tani 10. bila shaka speed ya hilo gari ni zero
Siamini kama ni gari la mseveni hilo,itakua scene ya kwenye senema
Kama ni kweli,gari hilo halifai kwa usalama,speed ndogo italifanya kuwa sitting duck ya ATGM attack hasa kwa nchi zisizo na amani mfano iraq,libya,syria.
Ila linafaa kwa show off
 
Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu.

View attachment 1628345
Mbona Kama limebeba daraja Sina Imani Kama anatumia rais gari hilo
 
Back
Top Bottom