Gari mpya ya Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni inatufundisha nini?

Gari mpya ya Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni inatufundisha nini?

Hakukua na pair pale bali wabongo mlikua mnalazimisha mambo ionekane wana urafiki
Hiyo pair ilikuwa lazima ife coz kila mtu anajiona ana akili kushinda ya mwenzie
 
Anataka amwachie mwanae urais ...anaogopa nini huyu kuachia nchi

Kuna madudu kafanya ndomana mwoga wa kupea kijiti wengine waongoze
 
Na bado hapo ana walinzi wengine wasioonekana kwa macho ya nyama,wala microscope; majini na uchawi wa kufa mtu.

Na hata jiwe anao hao walinzi, lakini kutwa kucha haishi kulitaja jina la Mwenyezi Mungu.

Yote hayo ni kwa ajili ya nini kama si kujilisha upepo tu?

"Majini na uchawi wa kufa mtu" Jiwe amedhihilisha kuamini mambo hayo kwenye hotuba yake ya kuzindua bunge kwa kushabikia madawa ya kienyeji kuwa yapewe kipaumbele!! Jiwe alipougua covid alikimbilia Chato kwa waganga wake wa kienyeji wakamywesha mizizi na sasa anajiaminisha kuwa kapona ingawa matamko yake hayaoneshi kuwa akili yake imetulia; halafu hao masheikh wanaomdanganya na kumsomea madua ndio mawamchanganya akili yake inakuwa na maluweluwe anazugumza pumba tupu!! Hamuaoni ajabu kusema kuwa Lukuvi na Mkuchika hawakushinda uchaguzi ingawa ni wabunge!!!! Hayo sio manejo ya mtu mwenye akili timamu!!! CCM mmempa kichaa lungu nchi itaangamia!!!
 
Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu.

View attachment 1628345
Dienstwagen-von-Politikern-2017-1200x800-4635ed22df38a40c.jpg
 
kwa kweli najuta kuzaliwa Africa, watu wanaturudisha ktk zama za ujima kabisa kisa uroho wao wa madaraka!!
 
Kinachonifundisha ni kwamba usishangae hao jamaa wanaoning'inia huko juu ya gari ukute wanaishi kwny kotaz za mabati na hapo walipo wana stress za madeni.
Teh teh teh teh 🤣 🤣🤣 angalau lakini wana uhakika wa maisha.
 
Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu.

View attachment 1628345
Muadikteta kote duniani huwa wanaogopa kupinduliwa na kuaawa kupita kiasi, ila siku si hawanaga ujanja
 
Back
Top Bottom