Gari nimenunua Afrika Kusini Milioni 4, kodi Tanzania Milioni 18!

Kwanini hukuchek hio TRA calculator kabla hujaleta hio gari boss?
Assumption yangu na uzoefu wangu kdg wa kuagiza magari Japan ninajua nikinunua price a huku hata ikizidi haifiki Mara mbili yake sasa nimeoverlook aina ya gari hilux kumbe ni gari ya starehe bongo!
 
Assumption yangu na uzoefu wangu kdg wa kuagiza magari Japan ninajua nikinunua price a huku hata ikizidi haifiki Mara mbili yake sasa nimeoverlook aina ya gari hilux kumbe ni gari ya starehe bongo!
Hizi pick up huko kwny calculator ya TRA ni very expensive kuliko unavyoweza kudhania,sijui ni kwanini lkn.
 
Ushauri: kama Gari lipo kwenye meli, na meli umefika bandarini lishushe litumbukize kwenye maji kesi imeishaa! Usengee huu 4.5 mpaka almost 5 times??
 
Ungeweka na kapicha ka hilux ingependeza
 
Hizi pick up huko kwny calculator ya TRA ni very expensive kuliko unavyoweza kudhania,sijui ni kwanini lkn.
Kweli mkuu mimi nina hilux 12r nilitaka kuiuza ninunue pick up ya 2000 lakin nimepiga mahesabu iliniweze kuifikisha bongo single cabin hilux lazima niwe na zaidi ya 18m ilinipate gari mzuri kodi ni zaidi ya 9m...gari zenyewe bei imechangamka kweli huko japan
 
Tembea kifua mbele Wea oni ze light turaka
 
Hapo serikali ya viwanda itatimia kweli ???Hilux gari ya kazi sasa ishu kama izi ni kufanya makongamano kuishauri serikali ilegeze kidogo masharti .
 
Ndio maana hatuendelei tunaoneana wivu wa kipumbavu
 
Nimekumbuka mwaka jana kuna Mrus mmoja aliniambia atanipa zawadi ya gari VW mpya yeye ataisafiri mm nitafute hela nikaitoe tu bandarini ikifika, nikamwambia anitumie aina ya gari na specification za gari alipo nitumia nikaangalia kwenye calculator ya TRA duh, iliniletea kiasi cha shilingi Milion 98...... Wakati mfukoni na laki 6 tu na sina mpango wa kupata hela,
 
Wel
Welcome back home. Huku tunajua bei za magari zaidi ya watengenezaji wenyewe.
 
Uongo na unafiki huwa unawasaidia nini nyinyi chadema ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…