Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Nimekumbuka mwaka jana kuna Mrus mmoja aliniambia atanipa zawadi ya gari VW mpya yeye ataisafiri mm nitafute hela nikaitoe tu bandarini ikifika, nikamwambia anitumie aina ya gari na specification za gari alipo nitumia nikaangalia kwenye calculator ya TRA duh, iliniletea kiasi cha shilingi Milion 98...... Wakati mfukoni na laki 6 tu na sina mpango wa kupata hela,
Gari ya mwaka gani?gari used ndio zina ushuru mkubwa zaidi mkuu