Gari nimenunua Afrika Kusini Milioni 4, kodi Tanzania Milioni 18!

Acha kudanganya mwenzio. Kubali cha kuingiza hari na kukaa nalo miezi 3 kinatolewa kwa mtu asie raia. Kama kuna mtamzania unamjua alipewa kibali hicho alipewa kwa rushwa. Halafu calculator ni kwa magari yote hata yanayopita mipakani.
Ila siamini toyota hilux linaweza.kununuliwa kwa 4.5.
Yeye alimvua mtu huko Afrika Kusini
Ila nadhani ukija nalo unaliendesha mpakani kodi yake haiwezi kuwa kubwa
 
Nimekumbuka mwaka jana kuna Mrus mmoja aliniambia atanipa zawadi ya gari VW mpya yeye ataisafiri mm nitafute hela nikaitoe tu bandarini ikifika, nikamwambia anitumie aina ya gari na specification za gari alipo nitumia nikaangalia kwenye calculator ya TRA duh, iliniletea kiasi cha shilingi Milion 98...... Wakati mfukoni na laki 6 tu na sina mpango wa kupata hela,
😆😆😆
 
Hahahahah nimecheka sana
 
Back
Top Bottom