Gari Nissan Dualis/ Qashqai kuchelewa kuchanganya

Wadau,

Nimeulizwa na mdau gari yake aina ya dualis/qashqai ya 2011 J10 inachelewa kuchanganya. Yani akianza kuondoa gari inachukua muda kupata speed/mwendo anaoutaka.

Mpaka akanyage mafuta sana mpaka RPM inafika kwenye 3.

Je, tatzo litakua ni nini?

JituMirabaMinne RRONDO na wengine.

Karibuni.
Badili transmission fluid hio, shida imeisha. Iliendelea njoo unifunge.
Or else akiendelea itumia hivo hivo kuna point itafika hata gear zinazingua kuingia na pia gari itaanza kukoswa nguvu. Ikifikia hii hatua reverse utaitafuta kwa manati yani.
 
Wadau,

Nimeulizwa na mdau gari yake aina ya dualis/qashqai ya 2011 J10 inachelewa kuchanganya. Yani akianza kuondoa gari inachukua muda kupata speed/mwendo anaoutaka.

Mpaka akanyage mafuta sana mpaka RPM inafika kwenye 3.

Je, tatzo litakua ni nini?

JituMirabaMinne RRONDO na wengine.

Karibuni.
CVT hii haichanganyi haraka
 
Nimeshawahi kuwajibu wadau mbali mbali humu jamvini kwamba Qashqai/Dualis/Juke/murano hamna magari humo Nissan kwa Bongo ni kizungumkuti tu. TOYOTA for Africa period , mtakuja kunishukuru baadaye msihangaike na sijui uniqueness sijui nini ikianza kukuzingua ndio hivyo mikono lazima uweke kichwani, hapo bado hujaongelea swala la kuungua , kluna mifano mingi zinaungulia njiani bila hata sababu ya msingi. kuna moja limewaka hata halijawashwa liko parking mtu yuko bara ana bia kama ya 3 tangu apaki likawaka , kwa ujumla hamna magari mule.Pole
 
Kwani toyota huwa hawaendi garage? Hayaungui?

Myth
 
we komaa tu wenye akili na experirnce na hayo magari wananielewa
Umenikumbusha story moja ya kweli...

Mtaa ulikua unamsema demu mmoja mkali sana kuwa ana ngoma kila mtu akawa anamuogopa....

Ikafika kipindi kuna jamaa kutoka mbali akahamia kitaa akaopoa demu mkali kirahisi mpaka sasa wana watoto watatu na familia bora. Hakuna cha ngoma wala sufuria.

Kumbe kuna jamaa aliwahi kutolewa nje ndio akawa anamsagia kunguni yule demu....
 
Nimeshawahi kuwajibu wadau mbali mbali humu jamvini kwamba Qashqai/Dualis/Juke/murano hamna magari humo Nissan kwa Bongo ni kizungumkuti tu. TOYOTA for Africa period , mtakuja kunishukuru baadaye msihangaike na sijui uniqueness sijui nini ikianza kukuzingua ndio hivyo mikono lazima uweke kichwani, hapo bado hujaongelea swala la kuungua , kluna mifano mingi zinaungulia njiani bila hata sababu ya msingi. kuna moja limewaka hata halijawashwa liko parking mtu yuko bara ana bia kama ya 3 tangu apaki likawaka , kwa ujumla hamna magari mule.Pole
Sidhani kama ni kweli 100% nadhani hizi fault hata kwenye magari ya Toyota ishawahigi kutokea miaka ya nyuma kidogo
 
Back
Top Bottom