Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Hapana. Gear box oil haijabadilishwa. Gari ina miezi miwili hapa bongo.Labda gear box, utakuta alibadilisha hydrolic ya gear box kwa mafundi vihiyo wakaweka hydrolic zao
Kama haijabadilishwa muibadili inaeza kua ishaisha muda wake, maana hamjui alieitumia huko ilikotoka ameitumia mda gani bila kubadili oil hioHapana. Gear box oil haijabadilishwa. Gari ina miezi miwili hapa bongo.
Haijawahi kuguswa popote zaidi ya kumwaga oil tu ya engine.
Badili transmission fluid hio, shida imeisha. Iliendelea njoo unifunge.Wadau,
Nimeulizwa na mdau gari yake aina ya dualis/qashqai ya 2011 J10 inachelewa kuchanganya. Yani akianza kuondoa gari inachukua muda kupata speed/mwendo anaoutaka.
Mpaka akanyage mafuta sana mpaka RPM inafika kwenye 3.
Je, tatzo litakua ni nini?
JituMirabaMinne RRONDO na wengine.
Karibuni.
CVT hii haichanganyi harakaWadau,
Nimeulizwa na mdau gari yake aina ya dualis/qashqai ya 2011 J10 inachelewa kuchanganya. Yani akianza kuondoa gari inachukua muda kupata speed/mwendo anaoutaka.
Mpaka akanyage mafuta sana mpaka RPM inafika kwenye 3.
Je, tatzo litakua ni nini?
JituMirabaMinne RRONDO na wengine.
Karibuni.
Why not spark plug zinakua zimeanza kuchoka?CVT hii haichanganyi haraka
Kwani toyota huwa hawaendi garage? Hayaungui?Nimeshawahi kuwajibu wadau mbali mbali humu jamvini kwamba Qashqai/Dualis/Juke/murano hamna magari humo Nissan kwa Bongo ni kizungumkuti tu. TOYOTA for Africa period , mtakuja kunishukuru baadaye msihangaike na sijui uniqueness sijui nini ikianza kukuzingua ndio hivyo mikono lazima uweke kichwani, hapo bado hujaongelea swala la kuungua , kluna mifano mingi zinaungulia njiani bila hata sababu ya msingi. kuna moja limewaka hata halijawashwa liko parking mtu yuko bara ana bia kama ya 3 tangu apaki likawaka , kwa ujumla hamna magari mule.Pole
we komaa tu wenye akili na experirnce na hayo magari wananielewaKwani toyota huwa hawaendi garage? Hayaungui?
Myth
Umenikumbusha story moja ya kweli...we komaa tu wenye akili na experirnce na hayo magari wananielewa
Why not spark plug zinakua zimeanza kuc
namiliki hii gari mwaka wa 4 huu, CVT inachelewa kuchanganya but ikichanganya ni tamu sanaWhy not spark plug zinakua zimeanza kuchoka?
Okay so solution ni nini?namiliki hii gari mwaka wa 4 huu, CVT inachelewa kuchanganya but ikichanganya ni tamu sana
ni kuisubiria tu ichanganye yenyewe😛Okay so solution ni nini?
Hapo baada ya kuchanganya ni sahii huwa ipo kibati sana..
Sawa sawa mkuu... Maana tukiicheki oil bado ipo safi hata mafundi walikataa kubadili...ni kuisubiria tu ichanganye yenyewe😛
pamoja KakaSawa sawa mkuu... Maana tukiicheki oil bado ipo safi hata mafundi walikataa kubadili...
Huna unachojua.we komaa tu wenye akili na experirnce na hayo magari wananielewa
Sidhani kama ni kweli 100% nadhani hizi fault hata kwenye magari ya Toyota ishawahigi kutokea miaka ya nyuma kidogoNimeshawahi kuwajibu wadau mbali mbali humu jamvini kwamba Qashqai/Dualis/Juke/murano hamna magari humo Nissan kwa Bongo ni kizungumkuti tu. TOYOTA for Africa period , mtakuja kunishukuru baadaye msihangaike na sijui uniqueness sijui nini ikianza kukuzingua ndio hivyo mikono lazima uweke kichwani, hapo bado hujaongelea swala la kuungua , kluna mifano mingi zinaungulia njiani bila hata sababu ya msingi. kuna moja limewaka hata halijawashwa liko parking mtu yuko bara ana bia kama ya 3 tangu apaki likawaka , kwa ujumla hamna magari mule.Pole
Anaongea kama Toyota haziendi garage.Sidhani kama ni kweli 100% nadhani hizi fault hata kwenye magari ya Toyota ishawahigi kutokea miaka ya nyuma kidogo