Car4Sale Gari Nissan Turbo ya ubalozi inauzwa

Status
Not open for further replies.

Rich Forever

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Posts
467
Reaction score
469
Gari aina ya nissan terano la kibalozi linauzwa bei sawa na bure ni dola 1700 tu gari ipo kwenye hali nzur sana halina michubuko wala kurudiwa rangi


Shughuli zake ni kupeleka wanafunzi shule gari lipo osterbay

Nimeshindwa kuweka kilomita kwakuwa Gage mita haisomi ila halina tatizo

Gari ni la Manual

Mawasiliano

0719590756

 

Hiyo bei ongeza na kodi itafika kiasi gani?
 
Milioni nne kwa gari hili ni pesa nyingi mno. Hapo ukichukulia inabidi kulilipia kodi linaweza kuzidi milioni kumi.
Hapo bei fair ni dola elfu moja tu!
 
Milioni nne kwa gari hili ni pesa nyingi mno. Hapo ukichukulia inabidi kulilipia kodi linaweza kuzidi milioni kumi.
Hapo bei fair ni dola elfu moja tu!

Vitu vingine omba usaidiwe usiwe unaandika tu kwa ujuaji wako hizo milion 10 unaitoa wapi? Hiyo ni cc ngapi had upate milion 10?
 
Vitu vingine omba usaidiwe usiwe unaandika tu kwa ujuaji wako hizo milion 10 unaitoa wapi? Hiyo ni cc ngapi had upate milion 10?
Wewe ndio hujanielewa kwa kuwa huelewi hesabu za kujumlisha na hesabu za makadirio. Nimesema ukibadilisha dola 1700 kwenda kwenye Tsh utapata ni Tsh milioni nne. Ukienda TRA ukalipishwa kodi ya Tsh milioni sita jumla zitafika au kuzidi milioni kumi. Hichi ndicho nimemaanisha.
Miloni kumi kwa gari iliyochoka kama hii is not a fair deal.
 
Ndio kwa sababu sina hadhi ya kibalozi.
Baloz anapaswa atumie mabenzi Yale malend kruza

Mkuu si kila gar anapanda balozi au ya kibalozi ni ya balozi hujawahi kuona vitz zenye namba za ubalozi?

Basi hizo gar zinatumiwa na wafanyakazi wa balozi fulani si za mabalozi
 
Serikali inadai kodi kiadi gani?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…