Car4Sale Gari Nissan Turbo ya ubalozi inauzwa

Car4Sale Gari Nissan Turbo ya ubalozi inauzwa

Status
Not open for further replies.
Wewe ndio hujanielewa kwa kuwa huelewi hesabu za kujumlisha na hesabu za makadirio. Nimesema ukibadilisha dola 1700 kwenda kwenye Tsh utapata ni Tsh milioni nne. Ukienda TRA ukalipishwa kodi ya Tsh milioni sita jumla zitafika au kuzidi milioni kumi. Hichi ndicho nimemaanisha.
Miloni kumi kwa gari iliyochoka kama hii is not a fair deal.
Unachesema nakuunga mkono, ubalozi wapo wafanyakaz wenye uwezo mzuri tuu wa kifedha ukiona gari linaletwa hadi hapa jua hilo limeshindikana ndio maana wanataka linunuliwe na asiyelijua.
 
Kodi naweka vipi hapa bila kwenda Tra? Unapokwena tra ina maana gar tayar ina mteja hivi mnavyoviandika huwaga mnavijua au kwa kuwa una bando la kuingilia jf basi kila post ni kuvamia hii sio gar ya kwanza kuuza ya ubaloz fungua thread zangu humo nimeuza hadi 8 cylinder cc 4500 haikufika hata milion 4 ujuaji mwingi kichwani zero huwezi kuweka kodi hapa bila kupigiwa na mamlaka ya tra au unataka makadirio?

Kwa kukusaidia hiyo gar kwa makadirio haizidi milion 3 na nusu
Jumlisha m4 unayouzia?
 
Huyo mnyamaa achana nae usimfananishe na vigari vyenu vya million kumi,, kama kitu haukijui nyamaza tu,,

Du hatar hilo nalo ni mnyama mkuu? Tuache hizi mada sijaja kulinganisha magar ktk hii thread sijui nduguyo katoa wap hilo ni gar la kawaida sana halina ukali

Binafsi kwa upande wangu napenda Hummer,Jeep na Ford ni vile masikin tu ila hilo kwangu sina mzuka nalo labda kwa upande wenu
 
Gari aina ya nissan terano la kibalozi linauzwa bei sawa na bure ni dola 1700 tu gari ipo kwenye hali nzur sana halina michubuko wala kurudiwa rangi


Shughuli zake ni kupeleka wanafunzi shule gari lipo osterbay

Nimeshindwa kuweka kilomita kwakuwa Gage mita haisomi ila halina tatizo

Gari ni la Manual

Mawasiliano

0719590756

View attachment 1191825View attachment 1191826View attachment 1191827View attachment 1191829View attachment 1191830View attachment 1191831

That is an expensive car to buy and run! Pia manual, hilo kuuzika si rahisi kwa wajanja
 
Unachesema nakuunga mkono, ubalozi wapo wafanyakaz wenye uwezo mzuri tuu wa kifedha ukiona gari linaletwa hadi hapa jua hilo limeshindikana ndio maana wanataka linunuliwe na asiyelijua.
Kwenye hizi dili mara nyingi wafanyakzi wa taasisi husika hawaruhusiwi kununua sasa sijui kwa hapo ubalozi masharti yamekaaje.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom