Anhaaa kumbe...ndo maana naonaga mpaka istMkuu si kila gar anapanda balozi au ya kibalozi ni ya balozi hujawahi kuona vitz zenye namba za ubalozi?
Basi hizo gar zinatumiwa na wafanyakazi wa balozi fulani si za mabalozi
Wewe ndio hujanielewa kwa kuwa huelewi hesabu za kujumlisha na hesabu za makadirio. Nimesema ukibadilisha dola 1700 kwenda kwenye Tsh utapata ni Tsh milioni nne. Ukienda TRA ukalipishwa kodi ya Tsh milioni sita jumla zitafika au kuzidi milioni kumi. Hichi ndicho nimemaanisha.
Miloni kumi kwa gari iliyochoka kama hii is not a fair deal.
Wewe ndio hujanielewa kwa kuwa huelewi hesabu za kujumlisha na hesabu za makadirio. Nimesema ukibadilisha dola 1700 kwenda kwenye Tsh utapata ni Tsh milioni nne. Ukienda TRA ukalipishwa kodi ya Tsh milioni sita jumla zitafika au kuzidi milioni kumi. Hichi ndicho nimemaanisha.
Miloni kumi kwa gari iliyochoka kama hii is not a fair deal.
Hilo gari labda mliuze dola 50,
Tuambie wewe unayejua. Kodi ni sh ngp?Kodi ya milion 6 umeitoa wapi?
Kajamaa sound nyingi blah blah kibao kaambieni kaweke na kodi ya hiyo gari hapa watu wajue, kamekuja kuuza gari badala katoe details zinazoeleweka kanaishia kubishanaTuambie wewe unayejua. Kodi ni sh ngp?
vp kama nina exemptionLinadaiwa kodi hilo baba, usilichukulie poa
Gari aina ya nissan terano la kibalozi linauzwa bei sawa na bure ni dola 1700 tu gari ipo kwenye hali nzur sana halina michubuko wala kurudiwa rangi
Shughuli zake ni kupeleka wanafunzi shule gari lipo osterbay
Nimeshindwa kuweka kilomita kwakuwa Gage mita haisomi ila halina tatizo
Gari ni la Manual
Mawasiliano
0719590756
View attachment 1191825View attachment 1191826View attachment 1191827View attachment 1191829View attachment 1191830View attachment 1191831
Itabidi Twende wote Nyumbani mke wangu nae tumgawie kidogo hiyo exemption, vyakula hivyo vya Ulaya msile peke yenu bwanavp kama nina exemption
Haha hapa ndio anajifanya hajui shida sio kununua balaa ni kuambiwa sijui ulipie milioni 10 kwa hiyo TerranoLinadaiwa kodi hilo baba, usilichukulie poa
ha ha ha ha ha ha ha"Gage mita haisomi ila halina tatizo"
Kajamaa sound nyingi blah blah kibao kaambieni kaweke na kodi ya hiyo gari hapa watu wajue, kamekuja kuuza gari badala katoe details zinazoeleweka kanaishia kubishana
Kabisa, karibu View attachment 1192714
Tuambie wewe unayejua. Kodi ni sh ngp?
Huo ufutio uliotumia kuficha plate number usije ukarudia utumia linapokuja swala la wewe kuficha sura yako Ukautumia ukiamini watu hawatokujua.
"Gage mita haisomi ila halina tatizo"
Kodi naweka vipi hapa bila kwenda Tra? Unapokwena tra ina maana gar tayar ina mteja hivi mnavyoviandika huwaga mnavijua au kwa kuwa una bando la kuingilia jf basi kila post ni kuvamia hii sio gar ya kwanza kuuza ya ubaloz fungua thread zangu humo nimeuza hadi 8 cylinder cc 4500 haikufika hata milion 4 ujuaji mwingi kichwani zero huwezi kuweka kodi hapa bila kupigiwa na mamlaka ya tra au unataka makadirio?
Kwa kukusaidia hiyo gar kwa makadirio haizidi milion 3 na nusu