Car4Sale Gari Nissan Turbo ya ubalozi inauzwa

Status
Not open for further replies.
Unachesema nakuunga mkono, ubalozi wapo wafanyakaz wenye uwezo mzuri tuu wa kifedha ukiona gari linaletwa hadi hapa jua hilo limeshindikana ndio maana wanataka linunuliwe na asiyelijua.
 
Jumlisha m4 unayouzia?
 
Huyo mnyamaa achana nae usimfananishe na vigari vyenu vya million kumi,, kama kitu haukijui nyamaza tu,,

Du hatar hilo nalo ni mnyama mkuu? Tuache hizi mada sijaja kulinganisha magar ktk hii thread sijui nduguyo katoa wap hilo ni gar la kawaida sana halina ukali

Binafsi kwa upande wangu napenda Hummer,Jeep na Ford ni vile masikin tu ila hilo kwangu sina mzuka nalo labda kwa upande wenu
 
That is an expensive car to buy and run! Pia manual, hilo kuuzika si rahisi kwa wajanja
 
Unachesema nakuunga mkono, ubalozi wapo wafanyakaz wenye uwezo mzuri tuu wa kifedha ukiona gari linaletwa hadi hapa jua hilo limeshindikana ndio maana wanataka linunuliwe na asiyelijua.
Kwenye hizi dili mara nyingi wafanyakzi wa taasisi husika hawaruhusiwi kununua sasa sijui kwa hapo ubalozi masharti yamekaaje.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…