Gari nzuri kwa watu wenye vipato vya kawaida hususani vijana

Ndege Tai

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2020
Posts
4,439
Reaction score
8,184
Premio.png
 
IST itabaki top kwa mtu anaenza maisha na kipato si cha uhakika au ana majukumu mengi

Nlikaa na IST miaka 2 asee ile gari ipeni maua yake[emoji28][emoji119]
upo sahihi ila for now premio inakuoffer vitu vingi zaidi hususani ukiwa na familia
 
Nazan hapa huwa ni preference tu
Ukisemea familia Kwani premio ni 7seater?
So hapo nazani premio ni more comfortable na ina engine options nyingi kuliko IST
Lakini usisahau pia IST iko juu graound clearance kubwa kidogo so hata kama hakuna mkeka inavumilia

Upande wa maintainance zote zinafanana tu

Ila 1NZ engine inavumilia sana unaeza kopa service[emoji23]

Ukiona imewasha check engine ujue umefeli mahali nenda tu kwa fundi
 
Premio ina space kubwa kidogo
comfort ipo
hyo 1nz ipo kwenye hizo gari zote??
 
Ulivyotoka kwa ist ukahamia wap?
IST itabaki top kwa mtu anaenza maisha na kipato si cha uhakika au ana majukumu mengi

Nlikaa na IST miaka 2 asee ile gari ipeni maua yake[emoji28][emoji119]
 
Nazan hapa huwa ni preference tu
Ukisemea familia Kwani premio ni 7seater?
So hapo nazani premio ni more comfortable na ina engine options nyingi kuliko IST
Lakini usisahau pia IST iko juu graound clearance kubwa kidogo so hata kama hakuna mkeka inavumilia

Upande wa maintainance zote zinafanana tu

Ila 1NZ engine inavumilia sana unaeza kopa service[emoji23]

Ukiona imewasha check engine ujue umefeli mahali nenda tu kwa fundi
Hizi ingine 1SZ,2SZ,1NZ,2NZ ipi katika hizi ambazo inasumbua na inabid tucheze nayo mbali sasa wa magari ya mkononi??
 
Ndugu zangu nina Kavitz Kangu huku Tanga Mjini ..kanasaidia kwa mizunguko Ya hapa barabara za namba ,,sasa nimevuta nguvu kidogo nilitaka nipate tena gari nyengine ndogo ya kunisaidia hata nikitaka kutoka nje ya Tanga iwe Rahisi ..nimewaza nikafikiri lakin bado nipo njia panda kwenye pendekezo la gari ipi niwe nayo ..Bajeti Yangu ni hizi hizi gari zetu za mkononi Bei(5M mpaka 8M) naomba nipewe mapendekezo wana JF ..
 
Back
Top Bottom