Bechede JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 872 Reaction score 2,422 Jun 27, 2023 #21 Ngongo said: View attachment 2669756 Hii ndio ndinga la maana Click to expand... Mwewe huyo. Anamwaga moto π₯π₯π₯ sana njiani. Kaka yake alikuwa anatuadabisha na sasa yeye ni zaidi ya kaka yake. #wapendaligi pita hivi.
Ngongo said: View attachment 2669756 Hii ndio ndinga la maana Click to expand... Mwewe huyo. Anamwaga moto π₯π₯π₯ sana njiani. Kaka yake alikuwa anatuadabisha na sasa yeye ni zaidi ya kaka yake. #wapendaligi pita hivi.
version001 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 841 Reaction score 2,004 Jun 27, 2023 #22 Ngongo said: View attachment 2669756 Hii ndio ndinga la maana Click to expand... Chuma kama chuma, Ila mjini naona zimekuwa nyingi ghafla..sijui ndiyo nchi imefunguka
Ngongo said: View attachment 2669756 Hii ndio ndinga la maana Click to expand... Chuma kama chuma, Ila mjini naona zimekuwa nyingi ghafla..sijui ndiyo nchi imefunguka