6 cylinder Ipoje?Gari za juu ni SUV's bro na kama ishu ni hiyo toa mawazo ya cc ndogo cha msingi sasa ni engine iwe 4cylinder na imara, chek toyota, subaru na mistubish naona zina unafuu kweny spare na service.
6 cylinder engine kubwa ulaji wa mafuta uko juu so inabidi uwe umejipanga.6 cylinder Ipoje?
Asante Mkuu Kuna BMW X3 nimeona BeForward nailia timing. Ikija bongo naweka gesi6 cylinder engine kubwa ulaji wa mafuta uko juu so inabidi uwe umejipanga.
Ivi gesi inaunafuu kiasi gani?Asante Mkuu Kuna BMW X3 nimeona BeForward nailia timing. Ikija bongo naweka gesi
Nafuu kubwa. Wanadai 200kms Kwa gesi ya 10,000 TZS
Kwahyo ww na passo yako umefikia level yakumiliki gari sio!? Au passo ina zaid ya cc1500!? Why huku opt crown or something else, anyways mtu kaomba ushauri apewe sio Ku m criticize juu ya uwezo alonao.Ukiona unataka kununua gari na una waza juu ya CC na ulaji wa mafuta au sijui spare tambua bado haujafika level ya kumiliki gari..ukitaka kununua gari unatakiwa ujue unataka nini kwanza 1. Comfortability 2. Style (muonekano mzuri) 3. Fuel Economy 4. Performance (uwezo wa engine huko barabarani na nje ya barabara) hivyo vitu hauwezi kuvipata vyote kwenye gari moja lazima usacrifice kimoja upate vitatu au viwili
Wapi nimetaja gari ninalotumia? Jamaa mwenyewe ameshapewa criteria za kuchagua gari ni hizo 4...kati ya magari sijawahi kuwaza kua nayo ni hayo yenye 1500CC kushuka chini..kwa kifupi nimeanzia LN130, nikaja KZN130 sasa hivi SXE10 modelista nikitoka hapa ni GRX133 modelista...crown ni kwa ajili yenu mliojulia magari ukubwani...🤣🤣🤣🤣Kwahyo ww na passo yako umefikia level yakumiliki gari sio!? Au passo ina zaid ya cc1500!? Why huku opt crown or something else, anyways mtu kaomba ushauri apewe sio Ku m criticize juu ya uwezo alonao.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu kuna jamaa wanaitwa traffic hao ni zaidi ya mafuta
Ushauri ni mwingi wengine hawana ushauri, sasa mtu umesema CC chini ya 1500, bado anataja Harrier, Vanguardhizo cc nisije nikashindea kuweka mafuta nimewaza chini ya 1500
Asante sana mkuuUshauri ni mwingi wengine hawana ushauri, sasa mtu umesema CC chini ya 1500, bado anataja Harrier, Vanguard
To me kama ndio unaanza tafuta gari ambazo zimefanya vizuri kwenye soko, Kigezo kimojawapo cha kufanya vizuri ni kuwa popular sana ambapo ni IST, Ractis, Passo, Vitz hizo ndio Chini ila Kina Spacio, Raum, Premio hizi ni za 1490 which is equvalent to exact 1500 na sio chini kama unavyo sema.
Pia Zipo Mazda Demio kwa upande wa Mazda na nissan March, Note kwa Upande wa Nissan.
Ushauri wangu ni kwamba hapo angalau umepata mwanga, inga mtandaoni fanya window shopping kuna makala nyingi na idea nyingi amabazo zinaweza kukupa INSIGHT kabla ya kufanya maamuzi yako.
Budget Maana yake ni nini??? Kwamba ukiweka Budget lazima Iiishe yote??? Sidhani kama ni Mjinga, Hiyo fedha yeye ametenga kwa ajili ya usafiri kwa vigezo alivyoweka.Wewe utakuwa mjinga Sana endapo unanunua gari ya chini 1.5 kwa bajeti hiyo
Wakuu nawasalimu...Natumaini wanajamvi wote ni wazima.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa siku za usoni natamani na mimi nipate usafari kwa ajili ya matumiz ya familia na mishe za hapa na pale ruti ndefu mara chache sana 1 au 2 kwa mwaka.
Nimejaribu kupitia aina mbali mbali za magari hadi sasa inayonivutia ni premio 2008. Naomba msaada wa mawazo zaidi kuhusiana na hili maana sina uzoefu sana wa hili hata kama ni aina nyingine nipo tayari kupokea mawazo yenu wanajamvi.
Kikubwa nachoangalia ni hy cc maana ikiwa chini ya 1500 najua consumption ya mafuta itakua chini sasa sinajua ipi ni imara kwa mazingira yetu japo naona IST, raum na spacio naoma zipo nyingi sana.
Naomba mwenye msada wa mawazo kwenye hili maana maintenance ni muhimu sana hivyo naangalia ambayo haitanisumbua.
Asante
Kumbe kuna ma Cousin mpk kwenye ndoa sikuhiziHapana bana....
Mbona mchepuko wangu (mume wangu anajuaga ni cousin wangu) anayo mwaka sijui wa nne huu sijaona akilalamika chochote.
Zile plastics zinaitwa body kits. Sio fenders! Fenders ni mashavu yanayofunika tairi za mbele...Nakushauri chukua spacio new model ila jitahidi iwe normal,, yaani isiwe na fender chini namaanisha maplastic yaloongezwa Kama urembo mbele nyuma na ubavuni utaipenda kwa mafuta na hata kwa meendo pia ni comfortable kwako na familia.
Mkuu chukua chuma aina ya NISSAN DUALIS utafurahia sana maisha ya hapa duniani, tena kama kubebea familia ina adhi kubwa sana, kama ni kubebea watoto wa chuo utawala sana watoto wa chuo mpaka ukimbie wewe mkuuDuh!!...Aside wanafunzi.Mkuu chukua chuma aina ya NISSAN DUALIS utafurahia sana maisha ya hapa duniani, tena kama kubebea familia ina adhi kubwa sana, kama ni kubebea watoto wa chuo utawala sana watoto wa chuo mpaka ukimbie wewe mkuu
Nakubaliana na wewe nilipomsoma mawazo yangu yalienda kwa dualis moja kwa moja.Li Harrier la kaz gani...
Bora achukue Nissan Dualis cc 1900 safi kabisa.
Gari ndefu Kama meli ,Hazija enea sana kama hizo nyingine mkuu, Cc 1500, comfotability safi, ina space ya kutosha ndani