Gari nzuri ya CC chini ya 1500 budget 14m-18m

Gari nzuri ya CC chini ya 1500 budget 14m-18m

Gari za juu ni SUV's bro na kama ishu ni hiyo toa mawazo ya cc ndogo cha msingi sasa ni engine iwe 4cylinder na imara, chek toyota, subaru na mistubish naona zina unafuu kweny spare na service.
6 cylinder Ipoje?
 
Ukiona unataka kununua gari na una waza juu ya CC na ulaji wa mafuta au sijui spare tambua bado haujafika level ya kumiliki gari..ukitaka kununua gari unatakiwa ujue unataka nini kwanza 1. Comfortability 2. Style (muonekano mzuri) 3. Fuel Economy 4. Performance (uwezo wa engine huko barabarani na nje ya barabara) hivyo vitu hauwezi kuvipata vyote kwenye gari moja lazima usacrifice kimoja upate vitatu au viwili
Kwahyo ww na passo yako umefikia level yakumiliki gari sio!? Au passo ina zaid ya cc1500!? Why huku opt crown or something else, anyways mtu kaomba ushauri apewe sio Ku m criticize juu ya uwezo alonao.
 
Wapi nimetaja gari ninalotumia? Jamaa mwenyewe ameshapewa criteria za kuchagua gari ni hizo 4...kati ya magari sijawahi kuwaza kua nayo ni hayo yenye 1500CC kushuka chini..kwa kifupi nimeanzia LN130, nikaja KZN130 sasa hivi SXE10 modelista nikitoka hapa ni GRX133 modelista...crown ni kwa ajili yenu mliojulia magari ukubwani...🤣🤣🤣🤣
 
hizo cc nisije nikashindea kuweka mafuta nimewaza chini ya 1500
Ushauri ni mwingi wengine hawana ushauri, sasa mtu umesema CC chini ya 1500, bado anataja Harrier, Vanguard

To me kama ndio unaanza tafuta gari ambazo zimefanya vizuri kwenye soko, Kigezo kimojawapo cha kufanya vizuri ni kuwa popular sana ambapo ni IST, Ractis, Passo, Vitz hizo ndio Chini ila Kina Spacio, Raum, Premio hizi ni za 1490 which is equvalent to exact 1500 na sio chini kama unavyo sema.

Pia Zipo Mazda Demio kwa upande wa Mazda na nissan March, Note kwa Upande wa Nissan.

Ushauri wangu ni kwamba hapo angalau umepata mwanga, inga mtandaoni fanya window shopping kuna makala nyingi na idea nyingi amabazo zinaweza kukupa INSIGHT kabla ya kufanya maamuzi yako.
 
Asante sana mkuu

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Wewe utakuwa mjinga Sana endapo unanunua gari ya chini 1.5 kwa bajeti hiyo
Budget Maana yake ni nini??? Kwamba ukiweka Budget lazima Iiishe yote??? Sidhani kama ni Mjinga, Hiyo fedha yeye ametenga kwa ajili ya usafiri kwa vigezo alivyoweka.
 
Go for Toyota Rush,engine yake ni cc 1,500 na iko juu
BK712260_dabd6f.jpg
BK712260_5d0493.jpg
 
Kama unataka 'sifa' kitaa, kamatia mjapan.

Kama unataka 'heshima' kwa road, kamatia mzungu.

Chukua VW polo uwanyooshe wakuda road. 😎

-Kaveli-
 
Natumaini wanajamvi wote ni wazima.

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa siku za usoni natamani na mimi nipate usafari kwa ajili ya matumiz ya familia na mishe za hapa na pale ruti ndefu mara chache sana 1 au 2 kwa mwaka.

Nimejaribu kupitia aina mbali mbali za magari hadi sasa inayonivutia ni premio 2008. Naomba msaada wa mawazo zaidi kuhusiana na hili maana sina uzoefu sana wa hili hata kama ni aina nyingine nipo tayari kupokea mawazo yenu wanajamvi.

Kikubwa nachoangalia ni hy cc maana ikiwa chini ya 1500 najua consumption ya mafuta itakua chini sasa sinajua ipi ni imara kwa mazingira yetu japo naona IST, raum na spacio naoma zipo nyingi sana.

Naomba mwenye msada wa mawazo kwenye hili maana maintenance ni muhimu sana hivyo naangalia ambayo haitanisumbua.

Asante
Wakuu nawasalimu...
Kutokana na ushari na maoni pamoja uhalisia wa mahitaji yangu nimebaki na option 3.
1.IST old model
2.Spacila new model
3. Premio old model

Wakuu naomba ushauri wenu specifically nichukue gari gani yenye engine gani nzuri maana naona engine ni nyingi afu zinatofautiana na ya mwaka gani na mengine ambayo sijayataja naomba msaada wenu wadau ili nifunge hili zoezi na nitaleta mrejesho kwenu. Asanteni
 
Nakushauri chukua spacio new model ila jitahidi iwe normal,, yaani isiwe na fender chini namaanisha maplastic yaloongezwa Kama urembo mbele nyuma na ubavuni utaipenda kwa mafuta na hata kwa meendo pia ni comfortable kwako na familia.
Zile plastics zinaitwa body kits. Sio fenders! Fenders ni mashavu yanayofunika tairi za mbele...
 
Mkuu chukua chuma aina ya NISSAN DUALIS utafurahia sana maisha ya hapa duniani, tena kama kubebea familia ina adhi kubwa sana, kama ni kubebea watoto wa chuo utawala sana watoto wa chuo mpaka ukimbie wewe mkuu

Duh!!...Aside wanafunzi.
 
Back
Top Bottom