Ushauri ni mwingi wengine hawana ushauri, sasa mtu umesema CC chini ya 1500, bado anataja Harrier, Vanguard
To me kama ndio unaanza tafuta gari ambazo zimefanya vizuri kwenye soko, Kigezo kimojawapo cha kufanya vizuri ni kuwa popular sana ambapo ni IST, Ractis, Passo, Vitz hizo ndio Chini ila Kina Spacio, Raum, Premio hizi ni za 1490 which is equvalent to exact 1500 na sio chini kama unavyo sema.
Pia Zipo Mazda Demio kwa upande wa Mazda na nissan March, Note kwa Upande wa Nissan.
Ushauri wangu ni kwamba hapo angalau umepata mwanga, inga mtandaoni fanya window shopping kuna makala nyingi na idea nyingi amabazo zinaweza kukupa INSIGHT kabla ya kufanya maamuzi yako.