Gari nzuri ya CC chini ya 1500 budget 14m-18m

Gari nzuri ya CC chini ya 1500 budget 14m-18m

Mkuu chukua chuma aina ya NISSAN DUALIS utafurahia sana maisha ya hapa duniani, tena kama kubebea familia ina adhi kubwa sana, kama ni kubebea watoto wa chuo utawala sana watoto wa chuo mpaka ukimbie wewe mkuu
 
Nakushauri chukua spacio new model ila jitahidi iwe normal,, yaani isiwe na fender chini namaanisha maplastic yaloongezwa Kama urembo mbele nyuma na ubavuni utaipenda kwa mafuta na hata kwa meendo pia ni comfortable kwako na familia.
Hizi naskia hazina 4WD mkuu sasa milimani kipindi cha mvua itakuaje?
 
Premio Second Generation imekaa poa.

Whatever engine you takes bado itakupa fuel consumption nzuri tu.

1NZ-FE 1.5L imezoeleka japo kupata hii inaweza kuwa changamoto na bei mkasi.

2ZR-FE nayo iko poa Dual VVTi inakupa 15+ Km/L kama haijachoka.

3ZR-FAE engine ya kwanza ya toyota kuweka Valvematic system, Dual Vvti na tech zingine ambazo kiujumla zinakupa more power na best fuel consumption.
 
Ni vizuri yakajibiwa kwanza hayo maswali niliyouliza kwenye post yangu.
Mimi nipo Dar na kwa zaidi ya 95/% mizunguko yangu ni ya hapa mjini mkoani mara chache 1 au 2 kwa mwaka. Kuhusu llts ngap /km siwez kujua ndo maana uzoefu sana na haya mambo
 
Premio Second Generation imekaa poa.

Whatever engine you takes bado itakupa fuel consumption nzuri tu.

1NZ-FE 1.5L imezoeleka japo kupata hii inaweza kuwa changamoto na bei mkasi.

2ZR-FE nayo iko poa Dual VVTi inakupa 15+ Km/L kama haijachoka.

3ZR-FAE engine ya kwanza ya toyota kuweka Valvematic system, Dual Vvti na tech zingine ambazo kiujumla zinakupa more power na best fuel consumption.
Samahani mkuu hii premio sec gen ndo ipi??
 
Gari ya kwanza iwe toyota ..utanishukuru[emoji119]. Gari nyingne inayofanana na unachowa za n Corolla Axio cc 1500 linganisha kati ya hzo gar mbili premio cc1500 VS axio
....kama mpunga upo upo go IST new model uta enjoy zaid

Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni gari ya kwanza chukua ist toleo la zamani kama ww mzoefu chukua Nissan Murano ya kuanzia mwaka 2010 hutajuta
 
Gari ya kwanza iwe toyota ..utanishukuru[emoji119]. Gari nyingne inayofanana na unachowa za n Corolla Axio cc 1500 linganisha kati ya hzo gar mbili premio cc1500 VS axio
....kama mpunga upo upo go IST new model uta enjoy zaid

Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app
Naomba kijua sifa za IST new model mkuu maana hua naziona tu barabarani
 
Hapana bana....
Mbona mchepuko wangu (mume wangu anajuaga ni cousin wangu) anayo mwaka sijui wa nne huu sijaona akilalamika chochote.
Mke wa mtu akijilengesha, chapa tu..kama.mambo yenyewe ndiyo haya...[emoji119][emoji119][emoji119]..unaweza ukajivunga, kumbe unachapiwa...dawa ya moto ni moto..[emoji419][emoji419][emoji419]
 
Gari za juu ni SUV's bro na kama ishu ni hiyo toa mawazo ya cc ndogo cha msingi sasa ni engine iwe 4cylinder na imara, chek toyota, subaru na mistubish naona zina unafuu kweny spare na service.
Gari ya cc chini ya 1500 iliyopo juu labda achukue Terious Kid, Cammy, Rush au Pajero Mini....

Vinginevyo akae tu kwenye SUV...hapi atapata option nyingi za kuanzia cc 2000
 
Ist new model 2007-
Yenye Cc 1490.na
Fuel consumption 18'km/l
Price range 19'million nakuendelea
Ina space kubwa kwa ndan tofaut na old model
hqdefault.jpg

Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app
 
Gari ya cc chini ya 1500 iliyopo juu labda achukue Terious Kid, Cammy, Rush au Pajero Mini....

Vinginevyo akae tu kwenye SUV...hapi atapata option nyingi za kuanzia cc 2000
Asante mkuu ila cc kuanzia 2000 ni nyingi sana
 
Mfuate huyu, ukiwa na noah kama una familia inabebe maana ina uwezo wa kubeba watu 6-10 endapo kule nyuma utaweka seat za kukunja, lkn pia ulaji wake wa mafuta ni kawaida tu maana kuna noah cc 1900,

Noah inabeba watu 10 mkuu? Au wengine wanapakatana
 
Back
Top Bottom