JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Premio sec generation. Itakufaa sana kwa gari ya kwanza ila ongeza bajeti maana inaweza kuwa kwenye 15m hivi yenye low km
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi naskia hazina 4WD mkuu sasa milimani kipindi cha mvua itakuaje?Nakushauri chukua spacio new model ila jitahidi iwe normal,, yaani isiwe na fender chini namaanisha maplastic yaloongezwa Kama urembo mbele nyuma na ubavuni utaipenda kwa mafuta na hata kwa meendo pia ni comfortable kwako na familia.
Mchepuko haujui lolote zaidi ya kutoa mwili wake. Hilo unalojua sio uhalisia.Hapana bana....
Mbona mchepuko wangu (mume wangu anajuaga ni cousin wangu) anayo mwaka sijui wa nne huu sijaona akilalamika chochote.
Mimi nipo Dar na kwa zaidi ya 95/% mizunguko yangu ni ya hapa mjini mkoani mara chache 1 au 2 kwa mwaka. Kuhusu llts ngap /km siwez kujua ndo maana uzoefu sana na haya mamboNi vizuri yakajibiwa kwanza hayo maswali niliyouliza kwenye post yangu.
Samahani mkuu hii premio sec gen ndo ipi??Premio Second Generation imekaa poa.
Whatever engine you takes bado itakupa fuel consumption nzuri tu.
1NZ-FE 1.5L imezoeleka japo kupata hii inaweza kuwa changamoto na bei mkasi.
2ZR-FE nayo iko poa Dual VVTi inakupa 15+ Km/L kama haijachoka.
3ZR-FAE engine ya kwanza ya toyota kuweka Valvematic system, Dual Vvti na tech zingine ambazo kiujumla zinakupa more power na best fuel consumption.
Naomba kijua sifa za IST new model mkuu maana hua naziona tu barabaraniGari ya kwanza iwe toyota ..utanishukuru[emoji119]. Gari nyingne inayofanana na unachowa za n Corolla Axio cc 1500 linganisha kati ya hzo gar mbili premio cc1500 VS axio
....kama mpunga upo upo go IST new model uta enjoy zaid
Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app
Mke wa mtu akijilengesha, chapa tu..kama.mambo yenyewe ndiyo haya...[emoji119][emoji119][emoji119]..unaweza ukajivunga, kumbe unachapiwa...dawa ya moto ni moto..[emoji419][emoji419][emoji419]Hapana bana....
Mbona mchepuko wangu (mume wangu anajuaga ni cousin wangu) anayo mwaka sijui wa nne huu sijaona akilalamika chochote.
Gari ya cc chini ya 1500 iliyopo juu labda achukue Terious Kid, Cammy, Rush au Pajero Mini....Gari za juu ni SUV's bro na kama ishu ni hiyo toa mawazo ya cc ndogo cha msingi sasa ni engine iwe 4cylinder na imara, chek toyota, subaru na mistubish naona zina unafuu kweny spare na service.
Mkuu kwa uimara ipoje ukilinganisha na old model?Ist new model 2007-
Yenye Cc 1490.na
Fuel consumption 18'km/l
Price range 19'million nakuendelea
Ina space kubwa kwa ndan tofaut na old modelView attachment 2078718
Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app
Asante mkuu ila cc kuanzia 2000 ni nyingi sanaGari ya cc chini ya 1500 iliyopo juu labda achukue Terious Kid, Cammy, Rush au Pajero Mini....
Vinginevyo akae tu kwenye SUV...hapi atapata option nyingi za kuanzia cc 2000
Zpo imara kabsa hazina tofaut na old ...kingne hii ina balnce njian ata kwa route ndefu hauchoki ....Mkuu kwa uimara ipoje ukilinganisha na old model?
Okay asante sanaZpo imara kabsa hazina tofaut na old ...kingne hii ina balnce njian ata kwa route ndefu hauchoki ....
Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app
Mfuate huyu, ukiwa na noah kama una familia inabebe maana ina uwezo wa kubeba watu 6-10 endapo kule nyuma utaweka seat za kukunja, lkn pia ulaji wake wa mafuta ni kawaida tu maana kuna noah cc 1900,