FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,050
- 2,651
Nikienda kwa Ist haitakuwa mbaya eeh?Kwa bajeti yako hauna machaguo mengi saaaana zaidi ya haya:
Toyota: Runx/Allex, IST, Raum, Passo, Opa,etc. used hapa Tanzania namba C au D za mwanzo.
Kwa bei hiyo hiyo utaweza pata haya: Brevis, Mark X, Mark 2, Cresta, Altezza, etc. Ila sikushahuri kama bajeti ni kuunga unga.
Hautakaa ukajuta.Nikienda kwa Ist haitakuwa mbaya eeh?
Kwa hiyo bajeti hutakiwi kuwa na vigezo.Salaam wakuu,
Naombeni ushauri ninune gari gani kwa milioni 6. Nahitaji gari yenye fuel efficiency nzuri, space ya kutosha hasa mbele (mimi mrefu) pamoja na upatatikanaji spare.
Nitashukuru pia kama mtapendekeza kwa gharama hiyo napata namba ipi?
NB: Hii ni ya kununua kwa mtu.
Niwe na ngapi mkuu ili niweze kuwa na vigezo?Kwa hiyo bajeti hutakiwi kuwa na vigezo.
Asante mkuu.ila kuna tetesi kuwa hizi new model zinasumbuaga sana gear boksi.Vipi kwa uzoefu wako?Vitz New Model 990 Cc hautojutia
9+Niwe na ngapi mkuu ili niweze kuwa na vigezo?
Asante kwa ushauri kiongozi.X trail naona kama bei zake nyingi zimechangamka.Na vipi skendo ya kuwa zinasumbua sanaUkinunua IST utajiona mjanja umebana matumizi ya mafuta, Ila baada ya wiki mbili akili ikitulia baada ya wenge la kumiliki Gari,
utaanza kuona aibu hicho kiIST watu watadhani Ni Uber traffic nao watakusumbua balaahhh. Shep yenyewe Kama mtoto wa kiti Moto.
Tafuta Mark II speak kibao, Vimba nayo IST Gari ya kinyonge Sana Ipotezee.
Wazo zuri kiongozi.ila sema budget iko tight sana nikijivuta sana 7 kamili ndio mwisho kabisa
Haijawahi kunisumbuaAsante mkuu.ila kuna tetesi kuwa hizi new model zinasumbuaga sana gear boksi.Vipi kwa uzoefu wako?
Asante mkuu nitalifanyia kazi.acha nipambane na madalaliHaijawahi kunisumbua
Dalali jerrybanks huwa ana bei reasonable. Mcheki.Wazo zuri kiongozi.ila sema budget iko tight sana nikijivuta sana 7 kamili ndio mwisho kabisa
Starlet gari ya kizamani sana.Tafuta sterlet no d utakuja kunishukuru badae
Chaguo lipi litakuwa zuri zaid kwa maoni yako kiongoziStarlet gari ya kizamani sana.