Gari nzuri ya kununua kwa Tsh 6,000,000

Kwa hiyo budget nakushauri utafute Suzuki Swift ile old model; utapata kali sana almost new - namaanisha haijachoka. Fuel efficiency 1300cc-1320cc) ni gari nzuri na imara sana na ndani ina viti vizuri/confortable; na uanaweza kubakiwa chenchi
Hizi ulizotajiwa; Runx/Allex, IST, Raum, sio rahisi kupata nzuri kwa bei hiyo, hivyo ukipata inaweza isiwe nzima
Na hizi hapa ndio usijaribu: Brevis, Mark X, Mark 2, Cresta, Altezza, Opa etc huwezi kupata nzuri kwa bei hiyo lakini pia zina engine kubwa hivyo SIO fuel efficiency
 
Nimeona mkuu.shukran japo naona kama ground clearence yake ndogo vile
 
Nimeona mkuu.shukran japo naona kama ground clearence yake ndogo vile
Ni kweli japo old model ipo juu kidogo kuliko new model
Kwa gari ndogo chache sana zina ground clearance kubwa; naweza tu kupendekeza; Suzuki Jimny au Suzuki Jimny Sierra nafikiri itakufaa kwani ni gari nzuri na yenye ground Clearance kubwa na imara ila ni 3doors. Mengi ya magari yenye Ground clearance nzuri ni kuanzia cc 1800 kwenda juu
 
Shukran k
Shukran kwa ushauri mzuri.Ngoja nianze kukawinda kwa madalali
 
Uongo.

Mark X uvungu unakaribia ardhi.
Crown zote uvungu hazina.
Toyota Wish hamna kitu.
Toyota Alphard inazidiwa na Noah.
Subaru Imprezza ndio kabisaaaa...
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji16]

Hapo kwenye matraffic kusumbua
 
kwa bajeti ya 6M utapata ist mbovu, ila utapata alteza nzima utajuta, utapa raum mbovu, utapata brevis na mark x nzima ila utajuta api ni kuchuku vitz new model tens namba C au D ya mwanzon kwa ist utapata bomu,
 
Shukran k
Shukran kwa ushauri mzuri.Ngoja nianze kukawinda kwa madalali
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji16]

Hapo kwenye matraffic kusumbua
Ist inapakwa balaa lakin utafanyaje sasa ndio ya wanyonge hyo😁
 
kwa bajeti ya 6M utapata ist mbovu, ila utapata alteza nzima utajuta, utapa raum mbovu, utapata brevis na mark x nzima ila utajuta api ni kuchuku vitz new model tens namba C au D ya mwanzon kwa ist utapata bomu,
Du kwa hyo haiwezekani kupata iliyo kwenye ali nzuri
 
Ninayo kubwa Ka uwanja wa Mpira Ila fuel consumption si nzuri ndo bado nafanyia kazi
 
Dah! Umeua mkuu
 
Yaani wewe inaonesha kabisa hujui hata unachokisema au pengine niseme, siku ukikua ukafika kidato cha nne utajua ulichemsha kupost hivyo;
Ungebahatika kidogo kusoma uchumi au hata kusikiliza masuala ya uchumi ungegundua kuwa gari sio anasa hivyo hununuliwa kulingana na matumizi, uwezo wa kifedha, barabara litakayotumia nk
Hilo la fasheni kiuchumi ni mtu ambaye amesha miliki magari kadhaa mazuri sasa anataka kubadili ndiye anatafuta gari la hadhi
Ila huwezi kushauri mtu gari lake la kwanza sijui anunue limgari ambalo gharama za uendeshaji ni juu, napengine bila hata kujua atapita barabara gani za vumbi au Lami, matumizi yake nk
Kama bajeti ya mtu inaruhusu na kama barabara zake nyingi ni lami; Ist ni moja ya gari nzuri sana kama ni First car iwe kwa mwanamme au mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…