Gari nzuri ya kununua kwa Tsh 6,000,000

Asante mkuu.ila kuna tetesi kuwa hizi new model zinasumbuaga sana gear boksi.Vipi kwa uzoefu wako?

Mkuu unaonekana umeshafanya utafiti wa kila aina ya gari na matatizo yake. Ukiendelea hivi hautakuja kununua gari maana hamna ambayo haina matatizo 😂😂😂😂

Pia mi nakushauri usisikilize saana maoni ya watu humu. We ingia mtaani, tafuta gari utakayoipenda wewe, ikague vizuri (unaweza kwenda na fundi unaemuamini), bargain bei, nunua. Hapa kila mtu anakushauri gari anayoipenda/miliki yeye, ambayo huenda wewe isikufae. Siku izi kila gari inatengenezeka na ina spea mkuu usiwe muoga sana..
 
Asante mkuu kwa ushauri.nitazingatia Hili pia
 
Go for IST tu! Ni gari zuri, ila ungeweza ongeza at least 7m or 7.5 ungepata IST safi; nenda taratibu tu usiwe na haraka utapata gari zuri! Budget ni nzuri ukitulia!
Pamoja Sana mkuu.Nitazingatia Hili pia.
Japo ku boost budget n changamoto itahitaji miez mi 3 mbele.
 
Magari mengi Sana mtandaoni yanatangazwa na madalali, madalali wengi hawana contacts za wenye magari, watakuzunguusha tu. Kama uko serious hakikisha unahangaika na Yale magari yanayotangazwa na wenye magari au nenda yard wanakouza magari yaliyotumika tz. Forget about shit madalali mikundu wazi. Wengine hata details za gari hawajui.
Shit dalalis.
 
Ndugu mbona matusi hivi
 
Pole sana mkuu
.naona ulibamizwa haswaa
 
Hujielewi ww
 
Pole,ila kuna ka ukweli ukiwa na gari kali hamna wa kukusumbua njiani.Ila pia kuna vigari mpaka aibu bora nipande daladala
Hakuna gari itayokufanya ujione bora kupanda daladala,

Mkishakuwa desperate hasa mkiona umri unaenda hata passo huna unaanza ponda usafiri wa watu…

Ist zilivyoanza kuzalishwa japan, ulaya “europe” pekee zimeuzwa zaidi y asilima 40 y matoleo yote, huko walizipa jina Scion A, Scion xD, Toyota xA….

Nenda ugoogle, ni most selling sub compact cars in japan car manufacturing history..

Mm situmii ist bt i do respect tht model cz kaz kubwa ilifanyika..

ss ww endelea kugombea daladala cku pedi ikikuanguka kwny hiyo sketi ndo utaacha kudharau private cars za watu.

I rest my case 🚶🏻🚶🏻
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…